Rais wa Zanzibar afanya ziara Kisiwani Pemba

Rais wa Zanzibar afanya ziara Kisiwani Pemba - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Rais wa Zanzibar afanya ziara Kisiwani Pemba, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Rais wa Zanzibar afanya ziara Kisiwani Pemba
kiungo : Rais wa Zanzibar afanya ziara Kisiwani Pemba

soma pia


Rais wa Zanzibar afanya ziara Kisiwani Pemba

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein (wa pili kushoto) alipokuwa akiangalia jengo la ZSTC Mkoani Pemba lililoanguka ukuta kutokana na kuangukiwa na mti baada ya mvua kubwa za masika zilizonyesha hivi karibuni na kusababisha uharibifu mkubwa alipofanya ziara maalum leo (kushoto) Waziri wa Biashara Viwanda na Masoko Mhe, Amina Salum Ali.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein (kushoto) alipofika kijiji cha Gando kumfariji na kumpa pole Mzee Juma Mjaka Khamis (kulia) akiwa na Familia yake aliyepata maafa ya nyumba yake kuangukiwa na mti na kupelekea kukosa sehemu ya kuishi baada ya mvua kubwa za masika zilizonyesha hivi karibuni kisiwani humo.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein (kushoto) alipokuwa akipata maelezo kutoka kwa Mkuu wa Wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba Mhe,Hemed Suleiman alitembelea Kijiji cha Makombeni Wilaya hiyo kuangalia  nyumba mbali mbali za Wananchi zilizopatwa na athari  zilizotokana na Mvua zinazoendelea kunyesha kisiwani humo leo wakati alipofanya ziara maalum ya kikazi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein (katikati) alipofika katika daraja la Chamanangwe leo kisiwani Pemba lililokatika kutokana na maji ya Mvua zilizonyesha hivi karibuni na kusababisha usumbufu kwa wanaotumia daraja hilo kutoka upande mmoja kuelekea sehemu nyengine   wakati alipofanya ziara maalum ya siku moja  ya kikazi (Picha na Ikulu). 


Hivyo makala Rais wa Zanzibar afanya ziara Kisiwani Pemba

yaani makala yote Rais wa Zanzibar afanya ziara Kisiwani Pemba Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Rais wa Zanzibar afanya ziara Kisiwani Pemba mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/05/rais-wa-zanzibar-afanya-ziara-kisiwani.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Rais wa Zanzibar afanya ziara Kisiwani Pemba"

Post a Comment