Mkuu wa Trafiki Mkoa wa Dar es Salaam ACP Awadhi Haji aendelea kutoa elimu kwa madereva wa bodaboda na bajaji jijini

Mkuu wa Trafiki Mkoa wa Dar es Salaam ACP Awadhi Haji aendelea kutoa elimu kwa madereva wa bodaboda na bajaji jijini - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Mkuu wa Trafiki Mkoa wa Dar es Salaam ACP Awadhi Haji aendelea kutoa elimu kwa madereva wa bodaboda na bajaji jijini, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Mkuu wa Trafiki Mkoa wa Dar es Salaam ACP Awadhi Haji aendelea kutoa elimu kwa madereva wa bodaboda na bajaji jijini
kiungo : Mkuu wa Trafiki Mkoa wa Dar es Salaam ACP Awadhi Haji aendelea kutoa elimu kwa madereva wa bodaboda na bajaji jijini

soma pia


Mkuu wa Trafiki Mkoa wa Dar es Salaam ACP Awadhi Haji aendelea kutoa elimu kwa madereva wa bodaboda na bajaji jijini

Mkuu wa Trafiki Mkoa wa Dar es Salaam, Kamishna Msaidizi wa Polisi Awadhi Haji ameendelea kutembeklea vituo mbalimbali vya Bajaji na Bodaboda jijijni katika juhudi za Jeshi la Polisi kupunguza kama si kuondoa kabisa ajali za barabarani. ACP Awadhi leo ametembelea kituo cha Africa sana eneo la Sinza na kutoa elimu ya usalama barabarani kwa madereva wa vyombo hivyo vy abiria, akiwataka kuzingatia na kufuata sheria za usalama barabarani pamoja kuhakikisha wanatengeneza pikipiki zao ili ziwe katika ubora wa kubeba abiria. Madereva hao wamefurahia hatua ya kamanda huyo kupita kila pembe ya jiji kutoa elimu, wakisema hatua hiyo ni ya kutia moyo kwani inaimarisha uhusiano mwema kati yao na wana usalama barabarani.
 Mkuu wa Trafiki Mkoa wa Dar es Salaam, Kamishna Msaidizi wa Polisi Awadhi Haji akielezea umuhimu wa kuwa na Bajaji na Bodaboda zisizo na hitilafu ili kuhakikisha usalama wa abiria
 Mkuu wa Trafiki Mkoa wa Dar es Salaam, Kamishna Msaidizi wa Polisi Awadhi Haji akisisitiza umuhimu wa kuvaa helmet kwa dereva pamoja na abiria
Mkuu wa Trafiki Mkoa wa Dar es Salaam, Kamishna Msaidizi wa Polisi Awadhi Haji akikagua uimara wa Bodaboda


Hivyo makala Mkuu wa Trafiki Mkoa wa Dar es Salaam ACP Awadhi Haji aendelea kutoa elimu kwa madereva wa bodaboda na bajaji jijini

yaani makala yote Mkuu wa Trafiki Mkoa wa Dar es Salaam ACP Awadhi Haji aendelea kutoa elimu kwa madereva wa bodaboda na bajaji jijini Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Mkuu wa Trafiki Mkoa wa Dar es Salaam ACP Awadhi Haji aendelea kutoa elimu kwa madereva wa bodaboda na bajaji jijini mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/05/mkuu-wa-trafiki-mkoa-wa-dar-es-salaam.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Mkuu wa Trafiki Mkoa wa Dar es Salaam ACP Awadhi Haji aendelea kutoa elimu kwa madereva wa bodaboda na bajaji jijini"

Post a Comment