Mkuu wa mkoa wa Mwanza Mhe. John Mongella mgeni rsmi katika maulidi ya Mtume Muhammad SAW

Mkuu wa mkoa wa Mwanza Mhe. John Mongella mgeni rsmi katika maulidi ya Mtume Muhammad SAW - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Mkuu wa mkoa wa Mwanza Mhe. John Mongella mgeni rsmi katika maulidi ya Mtume Muhammad SAW, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Mkuu wa mkoa wa Mwanza Mhe. John Mongella mgeni rsmi katika maulidi ya Mtume Muhammad SAW
kiungo : Mkuu wa mkoa wa Mwanza Mhe. John Mongella mgeni rsmi katika maulidi ya Mtume Muhammad SAW

soma pia


Mkuu wa mkoa wa Mwanza Mhe. John Mongella mgeni rsmi katika maulidi ya Mtume Muhammad SAW

 Mwenyekiti wa Jumuiya ya Kuendeleza Quraan na Sunna Tanzania (JAQUSUTA) Sheikh Hassan Kabeke (kushoto aliyesimama) akizungumza kwenye Maulid iliyofanyika jijini Mwanza juzi. Waliokaa kushoto ni Katibu wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania Mkoa wa Mwanza (BAKWATA) Sheikh Salum Mohamed Balla, Mkuu wa mkoa wa Mwanza Mhe. John Mongella, kulia wa kwanza ni Sheikh Khatm kutoka Malindi Kenya na wa pili ni Kaimu Mufti Othman Issa Othman.
 Katibu wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania Mkoa wa Mwanza (BAKWATA) aSheikh Salum Mohamed Balla na Mkuu wa mkoa huo  Mhe. John Mongella (wa pili kutoka kushoto) wakifuatilia mawaidha kwenye Maulid iliyofanyika jijijni Mwanza  juzi.Kulia wa kwanza ni Sheikh Khatm kutoka Malindi Kenya na wa pili ni Kaimu Mufti Othman Issa Othman.
Katibu wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania Mkoa wa Mwanza (BAKWATA) Sheikh Salum Mohamed Balla na Mkuu wa mkoa huo  Mhe. John Mongella (wa pili kutoka kushoto) wakifuatilia mawaida kwenye Maulid iliyofanyika jijijni Mwanza.Kulia wa kwanza ni Sheikh Khatm kutoka Malindi Kenya na wa pili ni Kaimu Mufti Othman Issa Othman. Picha na Baltazar Mashaka


Hivyo makala Mkuu wa mkoa wa Mwanza Mhe. John Mongella mgeni rsmi katika maulidi ya Mtume Muhammad SAW

yaani makala yote Mkuu wa mkoa wa Mwanza Mhe. John Mongella mgeni rsmi katika maulidi ya Mtume Muhammad SAW Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Mkuu wa mkoa wa Mwanza Mhe. John Mongella mgeni rsmi katika maulidi ya Mtume Muhammad SAW mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/05/mkuu-wa-mkoa-wa-mwanza-mhe-john.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Mkuu wa mkoa wa Mwanza Mhe. John Mongella mgeni rsmi katika maulidi ya Mtume Muhammad SAW"

Post a Comment