DK. MNDOLWA: MNASHINDWAJE KULIPA ADA YA UANACHAMA YA KILA MWAKA AMBAYO GHARAMA YAKE NI SAWA NA SODA MOJA?

DK. MNDOLWA: MNASHINDWAJE KULIPA ADA YA UANACHAMA YA KILA MWAKA AMBAYO GHARAMA YAKE NI SAWA NA SODA MOJA? - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa DK. MNDOLWA: MNASHINDWAJE KULIPA ADA YA UANACHAMA YA KILA MWAKA AMBAYO GHARAMA YAKE NI SAWA NA SODA MOJA?, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : DK. MNDOLWA: MNASHINDWAJE KULIPA ADA YA UANACHAMA YA KILA MWAKA AMBAYO GHARAMA YAKE NI SAWA NA SODA MOJA?
kiungo : DK. MNDOLWA: MNASHINDWAJE KULIPA ADA YA UANACHAMA YA KILA MWAKA AMBAYO GHARAMA YAKE NI SAWA NA SODA MOJA?

soma pia


DK. MNDOLWA: MNASHINDWAJE KULIPA ADA YA UANACHAMA YA KILA MWAKA AMBAYO GHARAMA YAKE NI SAWA NA SODA MOJA?

Na Bashir Nkoromo, Tarime.

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania Dk. Edmund Mndolwa ameshangazwa na baadhi ya wanachama wa CCM na Jumuiya zake kushindwa kulipa ada ya uanachama ya sh. 1200 kwa mwaka, ambayo ni sawa ya bei ya soda moja.

Dk. Mndolwa ameelezea kushangazwa huko, wakati akizungumza na viongozi wa CCM na Jumuiya za CCM kutoka Wilaya za mkoa wa Mara, katika ukumbi wa CMG mjini Tarime, leo, akiwa katika ziara ya kikazi mkoani humo.

Kufuatia hali hiyo Dk. Mndolwa ameagiza viongozi kusimamia ipasavyo ili kuhakikisha kila mwanachama wa CCM na Jumuiya ya Wazazi Tanzania analipa ada yake ya kila mwezi, akisisitiza kuwa watakaoshindwa kufanya hivyo itakuwa ni mfano unaoonyesha kuwa hawafai uongozi kutokana na kushindwa kusimamia uhai wa Jumuiya hiyo na Chama Cha Mapinduzi.

"Unamkuta mtu kila mara anajinasibu kuwa ni mwanachama wa CCM au Jumuiya ya Wazazi, lakini wakati huo huo halipi ada ya uanachama ya kila mwaka mbayo gharama yake kwa kila mwaka ni sawa na bei ya soda moja ambayo kila siku anamudu kuinunua", alisema Dk. Mndolwa.

Alisema, ni jambo la muhimu kwa kila mwanachama kuhakikisha analipa ada yake ya uanachama kwa sababu kufanya hivyo ndiyo ishara pekee inayodhihirisha uanachama wake kwa kuwa asipofanya hivyo anakuwa mwanachama mfu asiyeshiriki katika kuimarisha uhai wa Chama.
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania Dk. Edmund Mndolwa akizungumza na Viongozi wa Jumuiya hiyo, leo mjini Tarime mkoani Mara. Kushoto ni Katibu Mkuu wa Jumuiya hiyo Erasto Sima, Mwenyekiti wa Jumuiya hiyo mkoa wa Mara Samweli Kiboya na Makamu Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania uoande wa Zanzibar Haidar haji Abdallah na kulia ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mara Mrida Mshota.




Hivyo makala DK. MNDOLWA: MNASHINDWAJE KULIPA ADA YA UANACHAMA YA KILA MWAKA AMBAYO GHARAMA YAKE NI SAWA NA SODA MOJA?

yaani makala yote DK. MNDOLWA: MNASHINDWAJE KULIPA ADA YA UANACHAMA YA KILA MWAKA AMBAYO GHARAMA YAKE NI SAWA NA SODA MOJA? Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala DK. MNDOLWA: MNASHINDWAJE KULIPA ADA YA UANACHAMA YA KILA MWAKA AMBAYO GHARAMA YAKE NI SAWA NA SODA MOJA? mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/06/dk-mndolwa-mnashindwaje-kulipa-ada-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "DK. MNDOLWA: MNASHINDWAJE KULIPA ADA YA UANACHAMA YA KILA MWAKA AMBAYO GHARAMA YAKE NI SAWA NA SODA MOJA?"

Post a Comment