MKURUGENZI MANISPAA YA ILALA JIJINI DAR ES SALAAM ATOA CHETI KWA MTUNZA MALI ZA UMMA

MKURUGENZI MANISPAA YA ILALA JIJINI DAR ES SALAAM ATOA CHETI KWA MTUNZA MALI ZA UMMA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MKURUGENZI MANISPAA YA ILALA JIJINI DAR ES SALAAM ATOA CHETI KWA MTUNZA MALI ZA UMMA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MKURUGENZI MANISPAA YA ILALA JIJINI DAR ES SALAAM ATOA CHETI KWA MTUNZA MALI ZA UMMA
kiungo : MKURUGENZI MANISPAA YA ILALA JIJINI DAR ES SALAAM ATOA CHETI KWA MTUNZA MALI ZA UMMA

soma pia


MKURUGENZI MANISPAA YA ILALA JIJINI DAR ES SALAAM ATOA CHETI KWA MTUNZA MALI ZA UMMA

Mwambawahabari

Na Leonce Zimbandu
 
MKURUGENZI
wa Manispaa ya Ilala, Msongela Palela ametoa cheti cha
shukurani kwa Mkazi wa Mtaa wa Kichangani kata ya Majohe, Gabriel
Macheho (pichani) baada ya kutambua mchango wake wakuhifadhi na kutunza rasilimali za umma. 
 
Moja ya rasilimali hizo ni pamoja na kusimamia eneo
la umma lisichukuliwe na kumilikiwa na watubinafsi, likiwamo eneo

la machimbo ya mchanga lililokuwa likimilikiwa na Mbezi Tile.
Afisa Uhusiano wa Manispaa hiyo,
Tabu Shaibu alimkabidhi Macheho cheti hivi karibuni kwa niaba ya Mkurugenzi ili kutoa motisha kwa wananchi wenye moyo wakutoa utetezi wa mali za umma.
 
Alisema  Manispaa imeamua kutoa cheti hicho baada ya kutambua mchango aliotoa mkazi huyo kwa kufuatilia hadi kufanikiwa kupatikana kwa eneo hilo kwa ajili ya matumizi ya shughuli za kijamii, ikiwamo ujenzi wa soko na shule.
 

Tunapaswa kuonesha uzalendo wakufuatilia mambo yenye manufaa kwa jamii ilikuishaidia jamii inayo kuzunguka,” alisema.
 
Mkazi wa Majohe Andrew Msuya alisema amefurahishwa na kitendo cha
Serikali kutambua mchango wa wananchiwachini,   hiyo italeta chachu kwa watu wengine kuendeleza na kuhifadhi mazingira.

Naombaserikalikuendeleakuthaminimchangowawatuwachinikwakutoamotishailikukuzauhusianomzuri,” alisema.
 
Gabriel Macheho ameishukuru serikali kwa kutambua mchango wake wa kutunza na kuhifadhi rasilimali za umma, kwani wananchi wengi hawakujua kama huo ulikuwa ni wajibu wa msingi kutekeleza.
 
“Nitaendelea kutoa mchango wangu kwa serikali na jamii kwa ujumla ili kuhakikisha maeneo ya umma yanaendelea kulindwa na kuhifadhiwa,”
alisema.
 


Hivyo makala MKURUGENZI MANISPAA YA ILALA JIJINI DAR ES SALAAM ATOA CHETI KWA MTUNZA MALI ZA UMMA

yaani makala yote MKURUGENZI MANISPAA YA ILALA JIJINI DAR ES SALAAM ATOA CHETI KWA MTUNZA MALI ZA UMMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MKURUGENZI MANISPAA YA ILALA JIJINI DAR ES SALAAM ATOA CHETI KWA MTUNZA MALI ZA UMMA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/05/mkurugenzi-manispaa-ya-ilala-jijini-dar.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MKURUGENZI MANISPAA YA ILALA JIJINI DAR ES SALAAM ATOA CHETI KWA MTUNZA MALI ZA UMMA"

Post a Comment