RAIS DKT.MAGUFULI AWAAPISHA VIONGOZI MBALIMBALI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

RAIS DKT.MAGUFULI AWAAPISHA VIONGOZI MBALIMBALI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RAIS DKT.MAGUFULI AWAAPISHA VIONGOZI MBALIMBALI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RAIS DKT.MAGUFULI AWAAPISHA VIONGOZI MBALIMBALI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM
kiungo : RAIS DKT.MAGUFULI AWAAPISHA VIONGOZI MBALIMBALI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

soma pia


RAIS DKT.MAGUFULI AWAAPISHA VIONGOZI MBALIMBALI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

Mwambawahabari
uap1
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Ndugu Tixon Tuyangine Nzunda  kuwa Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais TAMISEMI, Ikulu jijini Dar es Salaam.
uap3
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Balozi Rajab Omar Luhwavi kuwa Balozi wa Tanzania nchini Msumbiji.

uap5
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Ndugu Benard Mtandi Makali kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Rukwa, Ikulu jijini Dar es Salaam.
uap6
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Ndugu Clifford Katondo Tandari kuwa Katibu Tawala wa mkoa wa Morogoro, Ikulu jijini Dar es Salaam.
uap7
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Ndugu Geoffrey Idelphonce Mwambe kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC), Ikulu jijini Dar es Salaam.
uap9
Viongozi waliopishwa wakila Kiapo cha Uadilifu –Ikulu jijini Dar es Salaam. wakwanza kutoka kulia ni Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais TAMISEMI, Tixon Tuyangine Nzunda, Balozi wa Tanzania nchini Msumbiji Rajab Omar Luhwavi, Katibu Tawala wa Mkoa wa Rukwa Benard Mtandi Makali,  Katibu Tawala wa mkoa wa Morogoro Clifford Katondo Tandari pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) Geoffrey Idelphonce Mwambe
uap10
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Balozi wa Tanzania nchini Msumbiji Rajab Omar Luhwavi mara baada ya kupiga picha ya pamoja Ikulu jijini Dar es Salaam. PICHA NA IKULU


Hivyo makala RAIS DKT.MAGUFULI AWAAPISHA VIONGOZI MBALIMBALI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

yaani makala yote RAIS DKT.MAGUFULI AWAAPISHA VIONGOZI MBALIMBALI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RAIS DKT.MAGUFULI AWAAPISHA VIONGOZI MBALIMBALI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/05/rais-dktmagufuli-awaapisha-viongozi.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "RAIS DKT.MAGUFULI AWAAPISHA VIONGOZI MBALIMBALI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM"

Post a Comment