title : RAIS DKT MAGUFULI AZINDUA NYUMBA ZA POLISI JIJINI ARUSHA LEO
kiungo : RAIS DKT MAGUFULI AZINDUA NYUMBA ZA POLISI JIJINI ARUSHA LEO
RAIS DKT MAGUFULI AZINDUA NYUMBA ZA POLISI JIJINI ARUSHA LEO
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipata maelezo ya ujenzi wa kituo maalumu ya Jeshi la Polisi cha Utalii na Diplomasia jijini Arusha ambacho kimejengwa na wadau wa utalii kwenye sherehe zilizofanyika leo Aprili 7, 2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na viongozi wengine wakiwa katika picha ya pamoja na wadau waliosaidia ujenzi wa kituo maalumu cha Jeshi la Polisi cha Utalii na Diplomasia jijini Arusha kwenye sherehe zilizofanyika leo Aprili 7, 2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikata utepe akiwa na viongozi wengine pamoja na wadau waliosaidia ujenzi wa kituo maalumu cha Jeshi la Polisi cha Utalii na Diplomasia jijini Arusha kwenye sherehe zilizofanyika leo Aprili 7, 2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Mrisho Gambo na Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Simon Sirro wakifunua pazia kuashiria kufunguliwa rasmi kwa nyumba za makazi ya askari ya polisi za Naura zilizojengwa upya baada ya kuteketea kwa moto kwenye sherehe zilizofanyika jijini Arusha leo Aprili 7, 2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisaidiwa na viongozi wengine akikata utepe kuashiria kufunguliwa rasmi kwa nyumba za makazi ya askari ya polisi za Naura zilizojengwa upya baada ya kuteketea kwa moto kwenye sherehe zilizofanyika jijini Arusha leo Aprili 7, 2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo na baadhi ya familia za askari polisi baada ya kufungua rasmi nyumba za makazi ya askari ya polisi za Naura zilizojengwa upya baada ya kuteketea kwa moto kwenye sherehe zilizofanyika jijini Arusha leo Aprili 7, 2018.
Picha na IKULU
Hivyo makala RAIS DKT MAGUFULI AZINDUA NYUMBA ZA POLISI JIJINI ARUSHA LEO
yaani makala yote RAIS DKT MAGUFULI AZINDUA NYUMBA ZA POLISI JIJINI ARUSHA LEO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RAIS DKT MAGUFULI AZINDUA NYUMBA ZA POLISI JIJINI ARUSHA LEO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/04/rais-dkt-magufuli-azindua-nyumba-za.html
0 Response to "RAIS DKT MAGUFULI AZINDUA NYUMBA ZA POLISI JIJINI ARUSHA LEO"
Post a Comment