MKEMIA AONYA MAKAMPUNI YA SAMBAZAJI KEMIKALI

MKEMIA AONYA MAKAMPUNI YA SAMBAZAJI KEMIKALI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MKEMIA AONYA MAKAMPUNI YA SAMBAZAJI KEMIKALI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MKEMIA AONYA MAKAMPUNI YA SAMBAZAJI KEMIKALI
kiungo : MKEMIA AONYA MAKAMPUNI YA SAMBAZAJI KEMIKALI

soma pia


MKEMIA AONYA MAKAMPUNI YA SAMBAZAJI KEMIKALI



Kampuni ya Techno Net Scientific inayojishughulisha na uingizaji pamoja na uuzaji wa kemikali imekutwa na kemikali zilizoingizwa nchini kwa njia za udanganyifu kwa kutumia vibali vya bandia.

Hayo yamesemwa leo Jijini Dar es Salaam na Mkemia Mkuu wa Serikali (GCLA), Prof. Samwel Manyele alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari kuhusu kampuni hiyo kukutwa na kemikali bashirifu bila kuwa na usajili wala kibali cha kufanya shughuli za kuuza na kusambaza bidhaa hiyo.

Prof. Manyele amesema kampuni hiyo ilikuwa na usajili wa miaka miwili kuanzia April 30 mwaka 2014 hadi Aprili 30, 2016 ambapo kwa mujibu wa Sheria ya Kemikali kampuni hiyo ilipaswa kusitisha shughuli zake hadi pale cheti cha usajili kitakapopatikana.

“Ingawa shughuli zake zilisitishwa lakini kampuni hiyo iliendelea kufanya kazi bila kuwa na cheti cha usajili hivyo ofisi yangu iliungana na Mamlaka ya Kudhibiti dawa za kulevya na Mamlaka ya Chakula na Dawa kufanya ukaguzi wa pamoja ambapo kwa sasa tumewaachia vyombo vya dola kufanya uchunguzi wao” amesema Prof Manyele.

Amefafanua kuwa Sheria ya Kemikali za Viwandani na Majumbani Sura ya 182 na kanuni zake inatoa masharti kuwa kila mtu anayetaka kujihusisha na shughuli za kemikali kwa namna yoyote ni sharti awe amesajiliwa na kufanyiwa ukaguzi.

Aidha, ametoa rai kwa wafanyabiashara wote wa kemikali na umma kwa ujumla kuwa Serikali haitasita kuchukua hatua za kisheria kwa makampuni na wafanyabiashara wasiokuwa waaminifu na wanaovunja matakwa ya Sheria katika uingizaji, usafirishaji, uhifadhi na utumiaji wa kemikali ikiwemo kemikali bashirifu nchini.

Prof. Manyele amewaomba wananchi kutoa taarifa na kuwafichua wafanyabiashara wa kemikali wanaokiuka matakwa ya Sheria kwa ajili ya kuchukuliwa hatua stahiki za kisheria ambazo zitapelekea wengine kuwa na matumizi salama ya kemikali na kuzuia madhara kwa watu na mazingira.


Hivyo makala MKEMIA AONYA MAKAMPUNI YA SAMBAZAJI KEMIKALI

yaani makala yote MKEMIA AONYA MAKAMPUNI YA SAMBAZAJI KEMIKALI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MKEMIA AONYA MAKAMPUNI YA SAMBAZAJI KEMIKALI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/05/mkemia-aonya-makampuni-ya-sambazaji.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MKEMIA AONYA MAKAMPUNI YA SAMBAZAJI KEMIKALI"

Post a Comment