title : Mbunge mstaafu wa Kilombero Mhe. Abdul Rajabu Mteketa apelekwa Muhimbili kutibiwa
kiungo : Mbunge mstaafu wa Kilombero Mhe. Abdul Rajabu Mteketa apelekwa Muhimbili kutibiwa
Mbunge mstaafu wa Kilombero Mhe. Abdul Rajabu Mteketa apelekwa Muhimbili kutibiwa
Mbunge mstaafu wa Kilombero Mhe. Abdul Rajabu Mteketa amepelekwa hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es salaa kwa matibabu, baada ya Jumamosi Februari 11, 2018 kuomba msaada wa kupatiwa matibabu ya upasuaji wa magoti yake.
Mbunge huyo aliyetumikia jimbo la Kilombero baada ya kushinda katika uchaguzi mkuu mwaka 2010, alitumia njia ya video mtandaoni kupeleka ujumbe kwa Rais na jana Jumapili gari la wagonjwa lilifika na kumchukua kumpeleka Muhimbili. Video ya kwanza inamuonesha Mhe. Mteketa akiomba msaada, unafuatia ukurasa wa Facebook wa mkewe unaomshukuru Rais kwa msaada huku ukisisitiza kuwa wao wasingeweza. Video ya pili inamuonesha mhusika akishukuru akiwa ndani ya gari la wagonjwa.
Hivyo makala Mbunge mstaafu wa Kilombero Mhe. Abdul Rajabu Mteketa apelekwa Muhimbili kutibiwa
yaani makala yote Mbunge mstaafu wa Kilombero Mhe. Abdul Rajabu Mteketa apelekwa Muhimbili kutibiwa Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Mbunge mstaafu wa Kilombero Mhe. Abdul Rajabu Mteketa apelekwa Muhimbili kutibiwa mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/02/mbunge-mstaafu-wa-kilombero-mhe-abdul.html
0 Response to "Mbunge mstaafu wa Kilombero Mhe. Abdul Rajabu Mteketa apelekwa Muhimbili kutibiwa"
Post a Comment