Dkt.BASHIRU AZINDUA KAMPENI YA KUTOKOMEZA UDUMAVU WA WATOTO KAGERA

Dkt.BASHIRU AZINDUA KAMPENI YA KUTOKOMEZA UDUMAVU WA WATOTO KAGERA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Dkt.BASHIRU AZINDUA KAMPENI YA KUTOKOMEZA UDUMAVU WA WATOTO KAGERA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Dkt.BASHIRU AZINDUA KAMPENI YA KUTOKOMEZA UDUMAVU WA WATOTO KAGERA
kiungo : Dkt.BASHIRU AZINDUA KAMPENI YA KUTOKOMEZA UDUMAVU WA WATOTO KAGERA

soma pia


Dkt.BASHIRU AZINDUA KAMPENI YA KUTOKOMEZA UDUMAVU WA WATOTO KAGERA

Katibu Mkuu wa CCM Dkt. Bashiru Ally ameanzisha kampeni hiyo ya kutokomeza Udumavu wa watoto Mkoani Kagera, Desemba 26 wakati wa  ukaguzi wa kiwanda cha kuchakata Nyanya  ili kupata "Tomato sauce" Kiitwacho VICTOLIA EDIBLES LTD    Kilichopo eneo la Kafunjo Kata Butelankuzi Katika Halmashauri ya Wilaya ya Bukoba Mkoani Kagera.

Akiwa katika ukaguzi huo katibu Mkuu wa CCM Dr.Bashiru Ally amewaaka viongozi wote  wa Chama  na serikali kuendeleza kampeni hii ili kupunguza udumavu wa watoto Mkoa wa Kagera "Kagera ni Mkoa wenye  vyakula vingi vya asili na ardhi yenye rutuba ya kustawisha mazao mengi kama Ndizi ,Mahindi, Mihogo hivyo haipaswi kuwa na ongezeko kubwa la watoto wadumavu "amesema Katibu Mkuu wa CCM Dr.Bashiru Ally Mkuu 

Aidha amewasisitiza viongozi wa dini zote kushirikiana kwa pamoja kuelimisha Watanzania namna yakupata lishe bora ili kutokomeza Udumavu wa watoto hasa Mkoa wa Kagera.

Ziara hiyo fupi ya Katibu Mkuu wa CCM Dr.Bashiru Ally ameongozana na Mbunge wa CCM  Bukoba Vijijini na Katibu wa wabunge wa Chama hicho  Mh.Jasson Rweikiza (MB), Ziara hiyo imesababisha Katibu kuzuru eneo la Kanazi na  kukagua eneo ambapo kitajengwa Kituo cha Afya ya Wilaya ya Bukoba.
Akizungumza mbele ya wananchi amewataka Wanakagera  na Watanzania wote kumuunga mkono Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.John Pombe Magufuli kwa juhudi anazozifanya za kuipeleka Tanzania katika Uchumi wa kati na kuendeleza kampeni ya Tanzania ya Viwanda

 Mh.Jasson Rweikiza (MB), Mkurugenzi wa Kiwanda cha Victoria Edibles Ltd akitoa maelezo ya mitambo, pembeni ni Mh. Dk. Bashiru Ally Katibu wa CCM - Taifa
 Sehemu ya kiwanda Cha kuchakata Nyanya Victoria Edibles ltd kilichopo Kafunjo Bukoba, Kagera.
Mh. Bashiru, na Mh. Rweikiza wakikagua eneo ambapo Hospitali ya Wilaya ya Bukoba inatarajiwa Kujengwa


Hivyo makala Dkt.BASHIRU AZINDUA KAMPENI YA KUTOKOMEZA UDUMAVU WA WATOTO KAGERA

yaani makala yote Dkt.BASHIRU AZINDUA KAMPENI YA KUTOKOMEZA UDUMAVU WA WATOTO KAGERA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Dkt.BASHIRU AZINDUA KAMPENI YA KUTOKOMEZA UDUMAVU WA WATOTO KAGERA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/12/dktbashiru-azindua-kampeni-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Dkt.BASHIRU AZINDUA KAMPENI YA KUTOKOMEZA UDUMAVU WA WATOTO KAGERA"

Post a Comment