MARIA SHARAPOVA AEUNGULIWA FRENCH OPEN

MARIA SHARAPOVA AEUNGULIWA FRENCH OPEN - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MARIA SHARAPOVA AEUNGULIWA FRENCH OPEN, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MARIA SHARAPOVA AEUNGULIWA FRENCH OPEN
kiungo : MARIA SHARAPOVA AEUNGULIWA FRENCH OPEN

soma pia


MARIA SHARAPOVA AEUNGULIWA FRENCH OPEN

Mchezaji nyota wa Mchezo wa Tenisi wa nchini Urusi, Maria Sharapova, amenyimwa kadi maalumu ya kuingia kwenye mashindano ya wazi ya Ufaransa maarufu kama ‘French Open’ yanayotarajiwa kuanza katikati ya Mwezi huu.
Mkuu wa shirikisho wa mchezo wa Tensis nchini Ufaransa, Bernard Giudicelli Ferrandini, alikanusha zaidi ya mara mbili kuwa mchezaji huyo hatoweza kushiriki mashindano hayo na kusema.
“Mwaliko huo ungeliweza kutolewa kwa mchezaji ambaye ametoka kuwa majeruhi lakini sio kwa aliyefungiwa kwa kashfa ya matumizi ya dawa za kusisimua misuli”
“Samahani sana Maria, samahani na kwa mashabiki zake”.
“Pengine nitakuwa nimewaangusha, pengine pia nitakuwa nimemkwaza , lakini ni jukumu langu, wajibu wangu,kuhakikisha ninalinda viwango vya wachezaji katika michezo pasipo shaka yoyote kwamba pengine ametumia madawa ama la kutokana na matokeo.”
Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 30, na mshindi mara tano wa Grand Slam , aligundulika kutumua madawa yaliyopigwa marufuku michezoni mwaka 2016 katika mashindano ya wazi ya Australia.


Hivyo makala MARIA SHARAPOVA AEUNGULIWA FRENCH OPEN

yaani makala yote MARIA SHARAPOVA AEUNGULIWA FRENCH OPEN Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MARIA SHARAPOVA AEUNGULIWA FRENCH OPEN mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/05/maria-sharapova-aeunguliwa-french-open.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MARIA SHARAPOVA AEUNGULIWA FRENCH OPEN"

Post a Comment