KISHAPU YAZINDUA MASHINDANO YA UMISETA

KISHAPU YAZINDUA MASHINDANO YA UMISETA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa KISHAPU YAZINDUA MASHINDANO YA UMISETA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : KISHAPU YAZINDUA MASHINDANO YA UMISETA
kiungo : KISHAPU YAZINDUA MASHINDANO YA UMISETA

soma pia


KISHAPU YAZINDUA MASHINDANO YA UMISETA

Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu mkoani Shinyanga imezindua mashindano ya Michezo ya Sekondari Tanzania (UMISETA) kwa mwaka 2017 kitarafa katika viwanja vya shule ya sekondari Shinyanga.

Mashindano hayo yamehusisha mpira wa miguu, netiboli, kikapu, wavu na riadha ambapo yatashirikisha shule za tarafa mbalimbali wilayani humo ambapo washindi watashindanishwa kupata timu za wilaya.

Akizungumza na wachezaji kutoka shule za Shinyanga sekondari, Maganzo Songwa, Mwadui ufundi, Idukilo na Mwadui Lutheran kwa niaba ya mkurugenzi mtendaji, Ofisa elimu sekondari, Paul Kasanda aliwataka kuwa wamoja.

Alisema pamoja na kuwa wachezaji hao wanatoka shule mbalimbali wilayani humo wanapaswa kushirikiana na kupata ushindi pindi watakapocheza na wilaya zingine kutafuta wawakilishi ngazi ya taifa.

Kasanda aliongeza kwa kusema kuwa michezo ni upendo, furaha, huleta furaha na pia huweza hata kutoa ajira kama zingine endapo wachezaji watajituma vizuri wataweza kufika mbali.

“Pamoja na kuwa ninyi ni wamoja mnatoka wilaya moja lakini tunataka mtuoneshe ufundi wenu, vipaji na ushindani ili tupate timu bora zitakazoshindana na wilaya zingine,” alisema Kasanda.

Mashindano ya UMISETA kiwilaya yanatarajiwa kuanza kutimua vumbi Mei 21 ambapo kimkoa ni Mei 22 hadi Juni 5 wakati kitaifa ni Juni 6 hadi 15 mwaka huu.
Ofisa Elimu Sekondari Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu, Paul Kasanda akizungumza na wachezaji wanafunzi kutoka shule mbalimbali washiriki wa mashindano ya UMISETA ngazi ya wilaya katika viwanja vya Shinyanga Sekondari.
Wachezaji wasichana wakionesha vipaji vyao katika kusakata soka (mchezo wa mpira wa miguu) kupata timu itakayowakilisha wilaya katika mashindano hayo.
Timu za netiboli kutoka shule mbalimbali zikitoana jasho kupata washindi kwa ajili ya kushindana ngazi ya mkoa.

BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI


Hivyo makala KISHAPU YAZINDUA MASHINDANO YA UMISETA

yaani makala yote KISHAPU YAZINDUA MASHINDANO YA UMISETA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala KISHAPU YAZINDUA MASHINDANO YA UMISETA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/05/kishapu-yazindua-mashindano-ya-umiseta.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "KISHAPU YAZINDUA MASHINDANO YA UMISETA"

Post a Comment