title : BALOZI MPYA WA JAMHURI YA KIISLAMU YA IRAN AJITAMBULISHA KWA RAIS WA ZANZIBAR
kiungo : BALOZI MPYA WA JAMHURI YA KIISLAMU YA IRAN AJITAMBULISHA KWA RAIS WA ZANZIBAR
BALOZI MPYA WA JAMHURI YA KIISLAMU YA IRAN AJITAMBULISHA KWA RAIS WA ZANZIBAR
Rais wa Zanzibar na Mwenyekikti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Balozi mpya wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Moussa Ahmad Farhangaliyefika Ikulu Mjini Zanzibar leo kujitambulisha.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekikti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na Mgeni wake Balozi mpya wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Moussa Ahmad Farhang baada ya mazungumzo yao alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo kujitambulisha.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekikti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akibadilishana mawazo na Mgeni wake Balozi mpya wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Moussa Ahmad Farhang baada ya mazungumzo yao alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo kujitambulisha.Picha na Ikulu, Zanzibar.
Hivyo makala BALOZI MPYA WA JAMHURI YA KIISLAMU YA IRAN AJITAMBULISHA KWA RAIS WA ZANZIBAR
yaani makala yote BALOZI MPYA WA JAMHURI YA KIISLAMU YA IRAN AJITAMBULISHA KWA RAIS WA ZANZIBAR Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala BALOZI MPYA WA JAMHURI YA KIISLAMU YA IRAN AJITAMBULISHA KWA RAIS WA ZANZIBAR mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/05/balozi-mpya-wa-jamhuri-ya-kiislamu-ya.html
0 Response to "BALOZI MPYA WA JAMHURI YA KIISLAMU YA IRAN AJITAMBULISHA KWA RAIS WA ZANZIBAR"
Post a Comment