MAKONDA AKABIDHI VIFAA TIBA KWA HOSPITAL NA 22 DAR ,ATOA ONYO HILI KWA WANAUME DAR .

MAKONDA AKABIDHI VIFAA TIBA KWA HOSPITAL NA 22 DAR ,ATOA ONYO HILI KWA WANAUME DAR . - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MAKONDA AKABIDHI VIFAA TIBA KWA HOSPITAL NA 22 DAR ,ATOA ONYO HILI KWA WANAUME DAR ., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MAKONDA AKABIDHI VIFAA TIBA KWA HOSPITAL NA 22 DAR ,ATOA ONYO HILI KWA WANAUME DAR .
kiungo : MAKONDA AKABIDHI VIFAA TIBA KWA HOSPITAL NA 22 DAR ,ATOA ONYO HILI KWA WANAUME DAR .

soma pia


MAKONDA AKABIDHI VIFAA TIBA KWA HOSPITAL NA 22 DAR ,ATOA ONYO HILI KWA WANAUME DAR .


Image result for PICHA ZA MAKONDA

Mwambawahabari
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mheshimiwa Paul Makonda Leo ametangaza kiama kwa Wanaume wenye michezo ya kuwazalisha Wanawake kisha kuingia mitini kwa kukwepa majukumu ya kulea  mtoto jambo linalosababisha ongezeko la  Watoto wa Mitaani na ombaomba. 
Mheshimiwa Makonda  amesema,  anataka kuongezea nguvu Idara ya Ustawi wa Jamii kwa kuuunda kamati ya Wanasheria Wabobezi kwaajili ya kuwapeleka Mahakamani Wanaume wanaotelekeza Familia  na kuwaachia Wanawake mzigo wa Malezi.
Aidha amesema kuwa Kamati hiyo pia itafanya  Marekebisho ya Sheria ya pesa ya matunzo ya mwezi Kwa Mtoto kisha kuwasilishwa Bungeni kwakuwa pesa inayotolewa ni ndogo na haiendani na maisha ya sasa.
Amesema ni lazima ifike Mahala Mwanaume anaposababisha Ujauzito kwa Binti atambue analojukumu la kuhudumia.
RC Makonda ,  amesema hayo wakati wa hafla ya kukabidhi zawadi za Vifaa vya Ultrasound 10 za kisasa Aina ya "GE Vscan Access" zenye thamani ya zaidi ya shilingi Million 150  kwa Hospital 10 zilizofanya vizuri katika kutoa huduma bora za Afya na kupunguza vifo vya Mama na Mtoto wakati wa kujifungua.
Amezipongeza Hospital, Zahanati na Vituo vya Afya vilivyofanikisha  Mkoa wa Dar es Salaam kuwa kinara wa huduma bora za Afya na Kupunguza Vifo vya Mama na Mtoto  na kuwaasa Watoa huduma kuwa na lugha nzuri kwa Wagonjwa.
Kwa Upande wake Mshauri Mtaalamu wa Magonjwa ya Mama na Mtoto kutoka CRDB  Dr BRENDA DIMELLO  amesema Dar es Salaam imekuwa  Mkoa wa kwanza kupunguza vifo vya Mama na Mtoto   kutokana na usimamizi thabiti wa  RC MAKONDA na watendaji wa Afya.


Hivyo makala MAKONDA AKABIDHI VIFAA TIBA KWA HOSPITAL NA 22 DAR ,ATOA ONYO HILI KWA WANAUME DAR .

yaani makala yote MAKONDA AKABIDHI VIFAA TIBA KWA HOSPITAL NA 22 DAR ,ATOA ONYO HILI KWA WANAUME DAR . Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MAKONDA AKABIDHI VIFAA TIBA KWA HOSPITAL NA 22 DAR ,ATOA ONYO HILI KWA WANAUME DAR . mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/makonda-akabidhi-vifaa-tiba-kwa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MAKONDA AKABIDHI VIFAA TIBA KWA HOSPITAL NA 22 DAR ,ATOA ONYO HILI KWA WANAUME DAR ."

Post a Comment