title : Habaripicha ; Waziri Mwakyembe ashuhudia uwekaji saini wa Shillingi Bilioni 2.1 baina ya TFF na SBL kusaidia Taifa Stars
kiungo : Habaripicha ; Waziri Mwakyembe ashuhudia uwekaji saini wa Shillingi Bilioni 2.1 baina ya TFF na SBL kusaidia Taifa Stars
Habaripicha ; Waziri Mwakyembe ashuhudia uwekaji saini wa Shillingi Bilioni 2.1 baina ya TFF na SBL kusaidia Taifa Stars
mwambawahabari
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe (katikati) akiongea na wadau wa michezo wakati wa uwekaji saini wa msaada wa fedha wa Shillingi Bilioni 2.1 baina ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Nchini (TFF) na Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL), kulia ni Rais wa TFF Jamal Malinzi na Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa SBL Bibi. Helene Weesie.
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu (TFF) Jamal Malinzi (kulia) akizungumza wakati wa mkutano wa kuweka saina msaada wa fedha kiasi cha Shillingi Bilioni 2.1 zilizotolewa na Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) kuisadia timu ya Taifa Stars,katikati ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe na kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa SBL Bibi. Helene Weesie.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe (katikati) akimshuhudia Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu (TFF) Jamal malinzi (kulia) akiweka saini hati ya makabidhiano ya ya pesa Shillingi Bilion 2.1 zilizotolewa na Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) kwa ajili ya kuisaidia timu ya Taifa Stars leo Jijini Dar es Salaam, kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa SBL Bibi. Helene Weesie.
Pic 4 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe (katikati) akishudia Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu (TFF) Jamal Malinzi (kulia) na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) Bibi. Helen Weesie (kushoto) wakibadilishana hati baada ya kuweka saini leo Jijini Dar es Salaam.
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu (TFF) Jamal Malinzi(wa pili kushoto) na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) Bibi. Helen (wa kwanza kulia) Weesie wakipeana mkono baada ya kukabidhi hundi ya Shillingi Bilioni 2.1 kusaidia timu ya Taifa Stars ,wa pili kulia ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe na wa Kwanza kushoto ni Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo Bw.Yussuph Singo.Picha na Lorietha Laurence-WHUSM.
Hivyo makala Habaripicha ; Waziri Mwakyembe ashuhudia uwekaji saini wa Shillingi Bilioni 2.1 baina ya TFF na SBL kusaidia Taifa Stars
yaani makala yote Habaripicha ; Waziri Mwakyembe ashuhudia uwekaji saini wa Shillingi Bilioni 2.1 baina ya TFF na SBL kusaidia Taifa Stars Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Habaripicha ; Waziri Mwakyembe ashuhudia uwekaji saini wa Shillingi Bilioni 2.1 baina ya TFF na SBL kusaidia Taifa Stars mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/05/habaripicha-waziri-mwakyembe-ashuhudia.html
0 Response to "Habaripicha ; Waziri Mwakyembe ashuhudia uwekaji saini wa Shillingi Bilioni 2.1 baina ya TFF na SBL kusaidia Taifa Stars"
Post a Comment