title : TAFITI ZABAINI ASILIMIA 72 VIFO VYA MIFUGO HUSABABISHWA NA MAGONJWA MBALIMBALI
kiungo : TAFITI ZABAINI ASILIMIA 72 VIFO VYA MIFUGO HUSABABISHWA NA MAGONJWA MBALIMBALI
TAFITI ZABAINI ASILIMIA 72 VIFO VYA MIFUGO HUSABABISHWA NA MAGONJWA MBALIMBALI
Woinde Shizza Globu ya jamii Arusha
TAFITI zinaonesha kuwa asilimia 72 ya vifo vya mifugo nchini, hutokana na magonjwa mbalimbali yakiwamo magonjwa yanayotokana na kupe na ndorobo, na kulisababishia taifa hasara ya Sh.bilioni 63 kwa mwaka huku takribani asilimia 70 ya ndama wanaozaliwa hufa kila mwaka kutokana na wafugaji walio wengi kutokuwa na muamko wa kuogesha mifugo yao.
Hayo yameelezwa leo na Mkurugenzi Mtendaji wa halmashauri ya Arusha , Dk.Wilson Mahera wakati wa kukabidhi za viuatilifu vya kuua wadudu na dawa ya kuogeshea mifugo.Baadhi ya viuatilifu ni vya kuulia wadudu aina ya kupe, mgao huo ni kutokana na mpango wa Serikali ya Awamu ya tano wenye lengo la kuhamasisha wafugaji kuogesha mifugo yao ili kuwa na ufugaji wenye tija.
Amesema neema hiyo kwa wafugaji imetokana na Serikali kupitia Wizara ya Mifugo na Uvuvi kutoa jumla ya lita 75 za viuatilifu aina ya 'Paranex' yenye kiini cha 'Alphacypermethtrin yenye uwezo wa kuua wadudu ya kupe kwa ajiki ya wafugaji wa vijiji vitano vya halmashauri ya Arusha."Inaonekana wafugaji hawana mwamko wa kuosha mifugo yao, kupitia Serikali ya Kijiji na wajumbe wa kamati za uendeshaji majosho, ni vema kukafanyika uhamasishaji ili na usimamizi mzuri ili kila mfugaji anufaike na huduma hii,"amesema Dk.Mahera.
Ili kuzuia vifo hivyo na hasara kubwa inayoligharimu Taifa, Serikali imeanza kuwawezesha wafugaji kwa kutoa dawa za kuogeshea mifugo ili kuzuia magonjwa yanayoenezwa na kupe, hivyo ni lazima kuhamasisha wafugaji kuogesja ng'ombe kupitia majosho yaliyo katika maeneo yao.
Aidha Dk.Mahera amewataka wajumbe wa kamati hizo kushirikiana na Serikali ya kijiji chini ya usimamizi wa maofisa mifugo wa ngazi zote, kusimamia vema utoaji wa huduma hiyo kwa wafugaji kwa kuhamasisha na kuwahimiza wafugaji kuogesha mifugo yao, pamoja na kusimamia fedha za mapato na matumizi ili
mradi huo uwe endelevu.
Amefafanua Serikali inatoa dawa hizo kama mtaji wa kuanzia kutoa huduma ya kuogesha mifugo na mapato yatakayopatikana, yatumike kuendeleza huduma hiyo kwa wafugaji katika maeneo yao huku akiwahimiza kushirikiana na Serikali ya Kijiji pamoja na maofisa mifugo katika maeneo yao.
Kwa upande wake Daktari wa mifugo katika Halmashauri ya Arusha Dkt. Linus Prosper ametaja bei elekezi iliyotolewa na Serikali ya kuendesha huduma hiyo ya kuogesha mifugo kwa kufafanua bei ya ng'ombe mmoja kwa muosho mmoja ni Sh.50 na kwa mbuzi na kondoo Sh.10 kwa mbuzi na kondoo kwa muosho mmoja.
Pia Serikali Serikali imefafanua gharama hizo zinaweza kubadilika, kulingana na gharama halisi za uendeshaji wa josho katika eneo husika kutegemea uamuzi Kamati ya Uendeshaji wa Josho husika.Aidha Dk. Linus amezitaja kamati nne za majosho, zilizokabidhiwa dawa za kuogesha mifugo ambazo ni Kamati ya Josho la Engutukoit kata ya Oldonyowas, Oloitushula kata ya Musa, kidali na Engalaoni kata ya Mwandet huku kila Josho likipata lita 10 za dawa.
Hata hivyo wajumbe wa kamati hizo wameishukuru serikali ya awamu ya tano kwa kuwakumbuka wafugaji, kwani kwa miaka mingi sasa, Serikali ilikua kama imewasahau na kuahidi kwenda kuhamasisha wafugaji kujitokeza kuogesha mifugo yao, kwa gharama nafuu ambazo hapo awali wafugaji wengi walikua
wanashindwa kuzimudu.
Mwenyekiti wa Kamati ya Josho la Oloitushula kata ya Musa, Manase Meoki, licha ya kuishuru Serikali kwa kuwakumbuka wafugaji, amesema kuwa uwepo wa dawa hizo, zilizotolewa na Serikali utawasaidia kupunguza gharama kubwa walizokuwa wakizitumia pamoja na kuepuka kuuziwa dawa zisizofaa na kuwataka wananchi wenzake kuunga mkono jitihada hizi za Serikali.
Halmashauri ya Arusha ina jumla ya majosho 18, majosho nane kati ya hayo ndio yanatoa huduma, majosho matano hayatoi huduma kutokana na uhalisia wa maeneo yalipo tayari kumeshakuwa miji na kuwa katika makazi ya watu hivyo hayatumiki kwa sasa, huku majosho matano yakihitaji ukarabati
kutokana na uchakavu uliotokana na kujengwa muda mrefu.

Picha ikionesha Mkurugenzi Mtendaji halmashauri ya Arusha Dkt. Wilson Mahera akimkabidhi mmoja wa mjumbe wa kamati ya uendeshaji josho (jina halikuweza kupatikana) box lenye lita kumi za dawa.
Picha baadhi ya wajumbe wa Kamati za Uendeshaji Majosho, wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kukabidhiwa dawa za kuogeshea mifugo.

Hivyo makala TAFITI ZABAINI ASILIMIA 72 VIFO VYA MIFUGO HUSABABISHWA NA MAGONJWA MBALIMBALI
yaani makala yote TAFITI ZABAINI ASILIMIA 72 VIFO VYA MIFUGO HUSABABISHWA NA MAGONJWA MBALIMBALI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala TAFITI ZABAINI ASILIMIA 72 VIFO VYA MIFUGO HUSABABISHWA NA MAGONJWA MBALIMBALI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/01/tafiti-zabaini-asilimia-72-vifo-vya.html
0 Response to "TAFITI ZABAINI ASILIMIA 72 VIFO VYA MIFUGO HUSABABISHWA NA MAGONJWA MBALIMBALI"
Post a Comment