title : DC GONDWE APOKEA MSAADA WA TAIRI 14 ZA MAGARI KUTOKA BINSLUM
kiungo : DC GONDWE APOKEA MSAADA WA TAIRI 14 ZA MAGARI KUTOKA BINSLUM
DC GONDWE APOKEA MSAADA WA TAIRI 14 ZA MAGARI KUTOKA BINSLUM
Mkuu wa Wilaya ya Handeni, Godwin Gondwe (kushoto) akipokea sehemu ya msaada wa matairi 14, kutoka kwa Muwakilishi wa Kampuni ya Binslum, Iddi Moshi "Mnyamwezi" yaliyotolewa kwa ajili ya magari ya Halmashauri ili kufanikisha shughuli mbalimbali za maendeleo katika Wilaya hiyo ya Handeni. Makabidhiano hayo yalifanyika hivi karibuni kwenye Duka la Matairi la Kampuni ya Binslum, Sikota, Temeke jijini Dar es salaam.
Hivyo makala DC GONDWE APOKEA MSAADA WA TAIRI 14 ZA MAGARI KUTOKA BINSLUM
yaani makala yote DC GONDWE APOKEA MSAADA WA TAIRI 14 ZA MAGARI KUTOKA BINSLUM Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala DC GONDWE APOKEA MSAADA WA TAIRI 14 ZA MAGARI KUTOKA BINSLUM mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/05/dc-gondwe-apokea-msaada-wa-tairi-14-za.html
0 Response to "DC GONDWE APOKEA MSAADA WA TAIRI 14 ZA MAGARI KUTOKA BINSLUM"
Post a Comment