title : BENKI YA NMB YAFANIKISHA SIKU YA WAUGUZI MKOANI GEITA
kiungo : BENKI YA NMB YAFANIKISHA SIKU YA WAUGUZI MKOANI GEITA
BENKI YA NMB YAFANIKISHA SIKU YA WAUGUZI MKOANI GEITA
Mgeni Rasmi, Mkuu wa Mkoa wa Geita Meja Jenerali mstaafu Ezikiel Elias Kyunga akiwa kwenye picha ya pamoja na kamati ya ulinzi na usalama pamoja na mwakilishi wa makampuni ambayo yamefadhili shughuli ya siku ya wauguzi ambapo Benki ya NMB iliwakilishwa na Meneja Mahusiano Biashara za Serikali Kanda ya Ziwa, Suma Mwainunu.
Meneja Mahusiano Biashara za Serikali Kanda ya Ziwa wa Benki ya NMB, Suma Mwainunu akitoa shukrani kwa wao kama Benki kushirikishwa kwenye shughuli hiyo ya siku ya wauguzi Duniani huku akihaidi kuwa Benki yao itaendelea kushirikiana na serikali katika juhudi zake mbalimbali.
Sehemu ya Washiriki siku ya wauguzi iliyofanyika Mkoani Geita hivi karibuni.
Hivyo makala BENKI YA NMB YAFANIKISHA SIKU YA WAUGUZI MKOANI GEITA
yaani makala yote BENKI YA NMB YAFANIKISHA SIKU YA WAUGUZI MKOANI GEITA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala BENKI YA NMB YAFANIKISHA SIKU YA WAUGUZI MKOANI GEITA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/05/benki-ya-nmb-yafanikisha-siku-ya.html
0 Response to "BENKI YA NMB YAFANIKISHA SIKU YA WAUGUZI MKOANI GEITA"
Post a Comment