SAM KAMANGA WA 'ATI' AWATAKA WADAU WA BIMA WAWEKEZE KWENYE TEKNOLOJIA

SAM KAMANGA WA 'ATI' AWATAKA WADAU WA BIMA WAWEKEZE KWENYE TEKNOLOJIA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SAM KAMANGA WA 'ATI' AWATAKA WADAU WA BIMA WAWEKEZE KWENYE TEKNOLOJIA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SAM KAMANGA WA 'ATI' AWATAKA WADAU WA BIMA WAWEKEZE KWENYE TEKNOLOJIA
kiungo : SAM KAMANGA WA 'ATI' AWATAKA WADAU WA BIMA WAWEKEZE KWENYE TEKNOLOJIA

soma pia


SAM KAMANGA WA 'ATI' AWATAKA WADAU WA BIMA WAWEKEZE KWENYE TEKNOLOJIA

Mwenyekiti wa Umoja wa Makampuni ya Bima Tanzania (ATI) ambaye pia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Bima Taifa (NIC) Sam Kamanga akiwa na watendaji wake jana katika banda la NIC Mlimani City wakati wa maonyesho ya wadau wa sekta ya bima kandokando ya mkutano wao maarufu kama African Insurance Summit 
Mwenyekiti wa Umoja wa Makampuni ya Bima Tanzania (ATI) ambaye pia ni Mkurugenzi wa Shirika la Bima la Taifa (NIC) Sam Kamanga akizungumza wakati wa mkutano huo. 
Mkurugenzi wa Ufuatiliaji na Usimamizi wa Bima wa Mamlaka ya Bima Tanzania (TIRA) Elia Kajiba akizungumza wakati alipotembelea banda Shirika la Bima la Taifa (NIC) kwenye maonyesho ya makampuni ya Bima nchini yaliyofanyika jana Mlimani City Jijini Dar es Salaam na kuandaliwa na Taasisi ya Bima Tanzania (IIT), kushoto ni Mwenyekiti wa Umoja wa Makampuni ya Bima Tanzania (ATI) ambaye pia ni Mkurugenzi wa Shirika la Bima la Taifa (NIC) Sam Kamanga na kulia ni Afisa Bima Mwandamizi wa NIC Konjeta Mwaipopo.
Kaimu Mkurugenzi wa Masoko waShirika la Bima la Taifa Elisante Maleko, akimkabidhi zawadi ya kikombe Mkurugenzi wa Ufuatiliaji na Usimamizi wa Bima wa Mamlaka ya Bima Tanzania (TIRA) Elia Kajiba alipotembelea banda la NIC katika maonyesho ya wadau wa bima Jijini Jana 
Mwenyekiti wa Umoja wa Makampuni ya Bima Tanzania (ATI) ambaye pia ni Mkurugenzi wa Shirika la Bima la Taifa (NIC) Sam Kamanga (Kulia) akisalimiana na Mkurugenzi wa Ufuatiliaji na Usimamizi wa Bima wa Mamlaka ya Bima Tanzania (TIRA) Elia Kajiba kando kando ya mkutano huo wa wadau wa bima African Insurance Summit 


Hivyo makala SAM KAMANGA WA 'ATI' AWATAKA WADAU WA BIMA WAWEKEZE KWENYE TEKNOLOJIA

yaani makala yote SAM KAMANGA WA 'ATI' AWATAKA WADAU WA BIMA WAWEKEZE KWENYE TEKNOLOJIA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SAM KAMANGA WA 'ATI' AWATAKA WADAU WA BIMA WAWEKEZE KWENYE TEKNOLOJIA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/03/sam-kamanga-wa-ati-awataka-wadau-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "SAM KAMANGA WA 'ATI' AWATAKA WADAU WA BIMA WAWEKEZE KWENYE TEKNOLOJIA"

Post a Comment