title : BALOZI WA VIJANA WA EAC ATOA SOMO KWA WANAFUNZI WA IJA JUU YA UMUHIMU WA JUMUIYA YA EAC
kiungo : BALOZI WA VIJANA WA EAC ATOA SOMO KWA WANAFUNZI WA IJA JUU YA UMUHIMU WA JUMUIYA YA EAC
BALOZI WA VIJANA WA EAC ATOA SOMO KWA WANAFUNZI WA IJA JUU YA UMUHIMU WA JUMUIYA YA EAC
Naibu Balozi wa vijana wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, Suzane William Mollel (kushoto), akizungumza katika Mkutano wa Wanafunzi wa Chuo cha Uongozi wa Mahakama (IJA), Lushoto Mkoani Tanga, wakati alipokuwa akiwahamasisha wanafunzi hao kuufahamu umuhimu wa Ushirikiano wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki, ambapo amewataka kutumia maarifa yao yote kuhakikisha ushirikiano huo unakuwa wa kudumu
Sehemu ya Wanafunzi wa Chuo cha Uongozi wa Mahakama (IJA), Lushoto Mkoani Tanga wakimsikiliza Naibu Balozi wa vijana wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, Suzane William Mollel (hayupo pichani) alipokuwa akizungumza nao juu ya umuhimu wa Ushirikiano wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki.
Ukafika muda wa maswali.
Hivyo makala BALOZI WA VIJANA WA EAC ATOA SOMO KWA WANAFUNZI WA IJA JUU YA UMUHIMU WA JUMUIYA YA EAC
yaani makala yote BALOZI WA VIJANA WA EAC ATOA SOMO KWA WANAFUNZI WA IJA JUU YA UMUHIMU WA JUMUIYA YA EAC Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala BALOZI WA VIJANA WA EAC ATOA SOMO KWA WANAFUNZI WA IJA JUU YA UMUHIMU WA JUMUIYA YA EAC mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/05/balozi-wa-vijana-wa-eac-atoa-somo-kwa.html
0 Response to "BALOZI WA VIJANA WA EAC ATOA SOMO KWA WANAFUNZI WA IJA JUU YA UMUHIMU WA JUMUIYA YA EAC"
Post a Comment