Ziara ya Balozi Asha Rose Migiro Leicester Kuhamasisha Diaspora Kushiriki Agenda ya Maendeleo ya Serikali ya Awamu ya Tano

Ziara ya Balozi Asha Rose Migiro Leicester Kuhamasisha Diaspora Kushiriki Agenda ya Maendeleo ya Serikali ya Awamu ya Tano - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Ziara ya Balozi Asha Rose Migiro Leicester Kuhamasisha Diaspora Kushiriki Agenda ya Maendeleo ya Serikali ya Awamu ya Tano, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Ziara ya Balozi Asha Rose Migiro Leicester Kuhamasisha Diaspora Kushiriki Agenda ya Maendeleo ya Serikali ya Awamu ya Tano
kiungo : Ziara ya Balozi Asha Rose Migiro Leicester Kuhamasisha Diaspora Kushiriki Agenda ya Maendeleo ya Serikali ya Awamu ya Tano

soma pia


Ziara ya Balozi Asha Rose Migiro Leicester Kuhamasisha Diaspora Kushiriki Agenda ya Maendeleo ya Serikali ya Awamu ya Tano

Hivi karibuni Balozi wa Tanzania Nchini Uingereza Dkt Asha Rose Migiro alifanya ziara mjini Leicester ambapo alikutana na Diaspora wa Tanzania waishio katika mji huo na vitongoji pamoja na kujionea shughuli za kiuchumi na kimaendeleo zinazofanywa na Diaspora hao. 

Katika mazungumzo yake na Diaspora Balozi Migiro aliwakumbusha dhamira ya dhati ya Rais John Pombe Magufuli na Serikali yake katika Kuwashirikisha Diaspora katika agenda ya Maendeleo ya Serikali na Nchi kwa ujumla. 

Aidha aliwakumbusha kuwa pamoja na shughuli zao ughaibuni ni Vyema wasisahau kuendeleza nyumbani. 

Balozi pia alitumia fursa hiyo kufafanua masuala ya uraia pacha na umiliki wa ardhi kwa Diaspora ambapo aliwaeleza kuwa Sera na Sheria zilizopo ndizo zinazotekelezwa na Serikali katika kuyashughulikia masuala hayo. 

Balozi Migiro anatarajiwa kuendelea kuwatembelea Watanzania walio katika miji mingine ya Uingereza kama sehemu ya mpango Kazi wa Ubalozi wa London wa kuwatambua Diaspora wa Tanzania waishio Uingereza na Kuwashirikisha katika Agenda ya Maendeleo ya Serikali ya Awamu ya Tano.
 Balozi Migiro akipokea maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa kampuni ya Diversity Health and Social Care Bi Frida Kusamba kuhusu huduma ya afya inayotolewa na kampuni yake. 
 Balozi akijionea mavazi yanayoshonwa  katika duka la Bi. Farhiya Mayo, Mkurugenzi wa zanzibar fashion house.
 .Balozi akiongea na wamiliki wa Kampuni ya uandaaji vyakula ya Diaspora 'Kisk Catering' .
Balozi katika hali ya kufurahia jambo na Diaspora wa Leicester walioshiriki Mkuu and wake


Hivyo makala Ziara ya Balozi Asha Rose Migiro Leicester Kuhamasisha Diaspora Kushiriki Agenda ya Maendeleo ya Serikali ya Awamu ya Tano

yaani makala yote Ziara ya Balozi Asha Rose Migiro Leicester Kuhamasisha Diaspora Kushiriki Agenda ya Maendeleo ya Serikali ya Awamu ya Tano Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Ziara ya Balozi Asha Rose Migiro Leicester Kuhamasisha Diaspora Kushiriki Agenda ya Maendeleo ya Serikali ya Awamu ya Tano mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/04/ziara-ya-balozi-asha-rose-migiro.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Ziara ya Balozi Asha Rose Migiro Leicester Kuhamasisha Diaspora Kushiriki Agenda ya Maendeleo ya Serikali ya Awamu ya Tano"

Post a Comment