ASASI YA TANZANIA HORTICULTURAL ASSOCIATION(TAHA) YAWAKUTANISHA WAKULIMA NA TAASISI ZA FEDHA ARUSHA

ASASI YA TANZANIA HORTICULTURAL ASSOCIATION(TAHA) YAWAKUTANISHA WAKULIMA NA TAASISI ZA FEDHA ARUSHA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa ASASI YA TANZANIA HORTICULTURAL ASSOCIATION(TAHA) YAWAKUTANISHA WAKULIMA NA TAASISI ZA FEDHA ARUSHA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : ASASI YA TANZANIA HORTICULTURAL ASSOCIATION(TAHA) YAWAKUTANISHA WAKULIMA NA TAASISI ZA FEDHA ARUSHA
kiungo : ASASI YA TANZANIA HORTICULTURAL ASSOCIATION(TAHA) YAWAKUTANISHA WAKULIMA NA TAASISI ZA FEDHA ARUSHA

soma pia


ASASI YA TANZANIA HORTICULTURAL ASSOCIATION(TAHA) YAWAKUTANISHA WAKULIMA NA TAASISI ZA FEDHA ARUSHA

 Afisa Masoko na Mahusiano wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo(TADB),Grace Ngailo(kulia) akimpa maelezo mgeni rasmi, Rais wa taasisi ya Southern African Confederation Agricultural Unions(Sacau),Dk Sinare Yusuf Sinare(kushoto)wakati wa maonesho ya taasisi za fedha kuwakutanisha na wakulima jijini Arusha.
 Rais wa taasisi ya Southern African Confederation Agricultural Unions(Sacau),Dk Sinare Yusuf Sinare(kulia) akisalimiana na maafisa wa Tanzania Horticultural Assocition(Taha) jijini Arusha.
 Wananchi wakiwa kwenye moja ya mabanda ya taasisi mbalimbali za fedha kwaajili ya kupata taarifa za mikopo kwaajili ya kilimo jijini Arusha.
 Wananchi wakiwa kwenye banda la taasisi ya serikali ya PASS inayojishughulisha na utoaji wa mikopo kwaajili ya kilimo nchini wakati wa maonesho ya yaliyoandaliwa na Taha jijini Arusha.
 Meneja Kiongozi wa Benki ya NMB anayeshughulikia Kilimo,Oscar Rwechungura(kushoto) akizungumza na wakulima katika maonesho ya taasisi za fedha yaliyoandaliwa na asasi ya kilimo cha mbogamboga na matunda(Taha) ya jijini Arusha.

KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA





Hivyo makala ASASI YA TANZANIA HORTICULTURAL ASSOCIATION(TAHA) YAWAKUTANISHA WAKULIMA NA TAASISI ZA FEDHA ARUSHA

yaani makala yote ASASI YA TANZANIA HORTICULTURAL ASSOCIATION(TAHA) YAWAKUTANISHA WAKULIMA NA TAASISI ZA FEDHA ARUSHA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala ASASI YA TANZANIA HORTICULTURAL ASSOCIATION(TAHA) YAWAKUTANISHA WAKULIMA NA TAASISI ZA FEDHA ARUSHA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/12/asasi-ya-tanzania-horticultural.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "ASASI YA TANZANIA HORTICULTURAL ASSOCIATION(TAHA) YAWAKUTANISHA WAKULIMA NA TAASISI ZA FEDHA ARUSHA"

Post a Comment