MAJALIWA ATEMBELEA UWANJA WA JAMHURI MJINI DODOMA KUKAGUA MAADALIZI YA SHEREHE ZA MUUNGANO

MAJALIWA ATEMBELEA UWANJA WA JAMHURI MJINI DODOMA KUKAGUA MAADALIZI YA SHEREHE ZA MUUNGANO - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MAJALIWA ATEMBELEA UWANJA WA JAMHURI MJINI DODOMA KUKAGUA MAADALIZI YA SHEREHE ZA MUUNGANO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MAJALIWA ATEMBELEA UWANJA WA JAMHURI MJINI DODOMA KUKAGUA MAADALIZI YA SHEREHE ZA MUUNGANO
kiungo : MAJALIWA ATEMBELEA UWANJA WA JAMHURI MJINI DODOMA KUKAGUA MAADALIZI YA SHEREHE ZA MUUNGANO

soma pia


MAJALIWA ATEMBELEA UWANJA WA JAMHURI MJINI DODOMA KUKAGUA MAADALIZI YA SHEREHE ZA MUUNGANO



mwambawahabari
Displaying PMO_4055.JPG

PMO 4055 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimsikiliza  Bw.Yusto Chuma (kulia) ambaye ni  mmoja wa  wajumbe wa kamati ya Maandalizi ya  Sherehe za Muungano wakati alipotembelea uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma Aprili 24, 2017 zitakapofanyika sherehe hizo.  Kushoto kwake ni  Waziri wa nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama na Kulia ni Naibu Waziri wa nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI, Selemani Jafo. (Picha na Ofisi ya ` Waziri Mkuu)

Displaying PMO_4024.JPG

PMO 4024 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimsikiliza  Bw.Yusto Chuma (kulia) ambaye ni  mmoja wa  wajumbe wa kamati ya Maandalizi ya  Sherehe za Muungano wakati alipotembelea uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma  zitakapofanyika sherehe hizo ili kujionea maandalizi hayo, Aprili 24, 2017.  Kushoto kwake ni  Waziri wa nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama . (Picha na Ofisi ya ` Waziri Mkuu)

Displaying PMO_3998.JPG

PMO 3998 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizngumza baada ya kutembelea na kukagua maadalizi ya uwanja wa Jamhuri mjini  Dodoma Aprili 24, 2017. Katikati ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama  na kushoto ni Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu, Dkt.Hamisi Mwinyimvua. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


Hivyo makala MAJALIWA ATEMBELEA UWANJA WA JAMHURI MJINI DODOMA KUKAGUA MAADALIZI YA SHEREHE ZA MUUNGANO

yaani makala yote MAJALIWA ATEMBELEA UWANJA WA JAMHURI MJINI DODOMA KUKAGUA MAADALIZI YA SHEREHE ZA MUUNGANO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MAJALIWA ATEMBELEA UWANJA WA JAMHURI MJINI DODOMA KUKAGUA MAADALIZI YA SHEREHE ZA MUUNGANO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/04/majaliwa-atembelea-uwanja-wa-jamhuri.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MAJALIWA ATEMBELEA UWANJA WA JAMHURI MJINI DODOMA KUKAGUA MAADALIZI YA SHEREHE ZA MUUNGANO"

Post a Comment