title : ZIARA YA BULEMBO KUKAGUA MCHAKATO WA UCHAGUZI CCM MKOA WA DAR ES SALAAM
kiungo : ZIARA YA BULEMBO KUKAGUA MCHAKATO WA UCHAGUZI CCM MKOA WA DAR ES SALAAM
ZIARA YA BULEMBO KUKAGUA MCHAKATO WA UCHAGUZI CCM MKOA WA DAR ES SALAAM
Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi Alhaj Abdallah Bulembo akizungumza na viongozi wa CCM na Jumuia ya Wazazi mkoa wa Dar es Salaam, katika Ofisi ya CCM mkoa huo, mwanzoni mwa ziara yake, kukagua uhai wa chama na mwenendo wa mchakato wa uchaguzi wa viongozi wa CCM. Waliokaa kulia ni Katibu wa CCM mkoa wa Dar es Salaam, Saad Kusilawe na Katibu wa Jumuia ya Wazazi mkoa huo, Lugano Mwafongo
Wanachama wakiwa ukumbini
Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi mAlhaj Abdallah Bulembo akizungumza na viongozi wa Jumuia ya Wazazi kwenye kikao hicho
Wanachama wa CCM ambao ni kutoka Jumuia ya Wazazi wakishangilia wakati wa kikao hicho
Katibu wa CCM wilaya ya Ilala akikabidhi taarifa ya mchakato wa uchaguzi katika maeneombalimbali wilayani humo kwa Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi Alhaj Abdallah Bulembo.
Hivyo makala ZIARA YA BULEMBO KUKAGUA MCHAKATO WA UCHAGUZI CCM MKOA WA DAR ES SALAAM
yaani makala yote ZIARA YA BULEMBO KUKAGUA MCHAKATO WA UCHAGUZI CCM MKOA WA DAR ES SALAAM Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala ZIARA YA BULEMBO KUKAGUA MCHAKATO WA UCHAGUZI CCM MKOA WA DAR ES SALAAM mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/05/ziara-ya-bulembo-kukagua-mchakato-wa.html
0 Response to "ZIARA YA BULEMBO KUKAGUA MCHAKATO WA UCHAGUZI CCM MKOA WA DAR ES SALAAM"
Post a Comment