WAZIRI MKUU AZINDUA MAABARA YA NYUKLIA

WAZIRI MKUU AZINDUA MAABARA YA NYUKLIA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAZIRI MKUU AZINDUA MAABARA YA NYUKLIA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAZIRI MKUU AZINDUA MAABARA YA NYUKLIA
kiungo : WAZIRI MKUU AZINDUA MAABARA YA NYUKLIA

soma pia


WAZIRI MKUU AZINDUA MAABARA YA NYUKLIA


Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa akitazama vifaa vya kisasa katika maabara ya nyuklia
Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa akitazama vifaa vya kisasa katika maabara ya nyuklia
Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema Akizungumza
Mbunge wa Viti Maalumu Catherine Magige akizungumza

Wananchi wakifuatilia kwa makini ufunguzi wa maabara
Picha ya pamoja ya Mgeni rasmi na kamati ya maandalizi
picha ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwa pamoja na Wafanyakazi wa Tume ya mionzi.
picha ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwa pamoja naViongozi wa Mkoa wa Arusha

Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa akitazama maabara ya Nyulia iliyozinduliwa katika tume ya Mionzi jijini Arusha.



Na Vero Ignatus, Arusha.

Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa amezindua maabara ya kisasa ya nyuklia iliko katika Time ya Mionzi Tanzania jijini Arusha ambapo maabara hiyo itasaidia kutumia nyuklia kwa ustawi wa jamii na maendeleo ya taifa.

Majaliwa amesema kuwa maabara hiyo ni muhimu katika kuhakikisha kuwa hakuna madhara yanayotokana na matumizi ya mionzi kwa kuwa na vifaa na wataalamu waliobobea katika mionzi.

Aidha amesema kuwa Tanzania ina hazina ya tank 58.2 za nyuklia katika maeneo mbalimbali ikiwemo Namtumbo,Nachingwea,Minjingu na Songea Vijijini."Maabara hii ya kisasa itasaidia kuongeza mchango wa nyuklia kwenye ustawi wa jamii na maendeleo ya taifa" Alisema Majaliwa

Naibu Waziri wa Afya na Maendeleo ya Jamii,Jinsia Wazee na Watoto Dr.Faustine Ndugulile ambaye alimuwakilisha Waziri wa Elimu na Sayansi na Teknolojia amesema kuwa maabara hiyo ya kisasa barani Afrika imejengwa kwa ushirikiano wa Jumuiya ya Umoja wa nchi za Ulaya na serikali ya Tanzania .

Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo amesema maabara hiyo itawawezesha Wataalu kudhibiti mionzi katika maeneo mbalimbali hususan viwanja vya ndege.

Mwenyekiti wa Bodi ya Tume ya Atomiki Najat Mohammed ametaja majina ya Wafanyakazi bora ambao wamedhibiti vyanzo vya mionzi katika bidhaa na maeneo ya mipakani licha ya kushawishiwa na rushwa


Hivyo makala WAZIRI MKUU AZINDUA MAABARA YA NYUKLIA

yaani makala yote WAZIRI MKUU AZINDUA MAABARA YA NYUKLIA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI MKUU AZINDUA MAABARA YA NYUKLIA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/04/waziri-mkuu-azindua-maabara-ya-nyuklia.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WAZIRI MKUU AZINDUA MAABARA YA NYUKLIA"

Post a Comment