title : Taarifa Kwa Vyombo vya habari
kiungo : Taarifa Kwa Vyombo vya habari
Taarifa Kwa Vyombo vya habari
Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari
Vyombo vyote vya Habari ambavyo Vinategemea Kushiriki Kilele cha Sherehe za Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar Uwanja wa Amani Vinatakiwa Kuwasilisha Majina ya Waandishi wao Idara ya Habari Maelezo kuazia leo Ijumaa hadi kesho jumamosi saa 11.00, jioni.
Baada ya Kupita Muda huo hakuna majina yatakayopokelewa, tutafarijika zaidi kuleta majina ya waandishi wenu wenye PRESS CARD za mwaka 2017 ama waliojiorodhesha kwa ajili ya PRESS CARD za mwaka 2018.
Ahsanteni kwa Ushirikiano Wenu.
Hivyo makala Taarifa Kwa Vyombo vya habari
yaani makala yote Taarifa Kwa Vyombo vya habari Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Taarifa Kwa Vyombo vya habari mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/12/taarifa-kwa-vyombo-vya-habari.html
0 Response to "Taarifa Kwa Vyombo vya habari"
Post a Comment