WAZIRI MAKAMBA AKUTANA NA WAJUMBE MBALIMBALI KUTOKA TAASISI KUTEKELEZA AGIZO LA KUPIGA MARUFUKU MATUMIZI YA MIFUKO YA PLASTIKI NCHINI

WAZIRI MAKAMBA AKUTANA NA WAJUMBE MBALIMBALI KUTOKA TAASISI KUTEKELEZA AGIZO LA KUPIGA MARUFUKU MATUMIZI YA MIFUKO YA PLASTIKI NCHINI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAZIRI MAKAMBA AKUTANA NA WAJUMBE MBALIMBALI KUTOKA TAASISI KUTEKELEZA AGIZO LA KUPIGA MARUFUKU MATUMIZI YA MIFUKO YA PLASTIKI NCHINI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAZIRI MAKAMBA AKUTANA NA WAJUMBE MBALIMBALI KUTOKA TAASISI KUTEKELEZA AGIZO LA KUPIGA MARUFUKU MATUMIZI YA MIFUKO YA PLASTIKI NCHINI
kiungo : WAZIRI MAKAMBA AKUTANA NA WAJUMBE MBALIMBALI KUTOKA TAASISI KUTEKELEZA AGIZO LA KUPIGA MARUFUKU MATUMIZI YA MIFUKO YA PLASTIKI NCHINI

soma pia


WAZIRI MAKAMBA AKUTANA NA WAJUMBE MBALIMBALI KUTOKA TAASISI KUTEKELEZA AGIZO LA KUPIGA MARUFUKU MATUMIZI YA MIFUKO YA PLASTIKI NCHINI

 Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. January Makamba akiongea na wawakilishi kutoka taasisi mbalimbali ambao kwa pamoja wanaunda kikosi kazi cha kusimamia utekelezaji wa katazo la mifuko ya plastiki hapa nchini. Wajumbe hao ni kutoka Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC), Mamlaka ya Mapato Tanzania, Idara ya Uhamiaji, Mamlaka ya Viwanja vya Ndege, Shirika la Viwango Tanzania, Mamlaka ya Chakula na Dawa, Jeshi la Polisi, Ofisi ya Mkemia Mkuu wa Serikali na Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa. Kikao hicho kimefanyika hii leo katika Ukumbi wa Chuo cha Mipango – Dodoma.
Sehemu ya wajumbe wanaounda kikosi kazi cha kusimamia utekelezaji wa katazo la mifuko ya plastiki hapa nchini wakimsikiliza Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. January Makamba (Hayupo pichani) wakati wa kikao kazi kilichofanyika hii leo katika Ukumbi wa Chuo cha Mipango.


Hivyo makala WAZIRI MAKAMBA AKUTANA NA WAJUMBE MBALIMBALI KUTOKA TAASISI KUTEKELEZA AGIZO LA KUPIGA MARUFUKU MATUMIZI YA MIFUKO YA PLASTIKI NCHINI

yaani makala yote WAZIRI MAKAMBA AKUTANA NA WAJUMBE MBALIMBALI KUTOKA TAASISI KUTEKELEZA AGIZO LA KUPIGA MARUFUKU MATUMIZI YA MIFUKO YA PLASTIKI NCHINI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI MAKAMBA AKUTANA NA WAJUMBE MBALIMBALI KUTOKA TAASISI KUTEKELEZA AGIZO LA KUPIGA MARUFUKU MATUMIZI YA MIFUKO YA PLASTIKI NCHINI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/04/waziri-makamba-akutana-na-wajumbe.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WAZIRI MAKAMBA AKUTANA NA WAJUMBE MBALIMBALI KUTOKA TAASISI KUTEKELEZA AGIZO LA KUPIGA MARUFUKU MATUMIZI YA MIFUKO YA PLASTIKI NCHINI"

Post a Comment