title : WAZIRI MHAGAMA ATEMBELEA KIWANDA CHA MATAIRI CHA GENERAL TYRE ARUSHA
kiungo : WAZIRI MHAGAMA ATEMBELEA KIWANDA CHA MATAIRI CHA GENERAL TYRE ARUSHA
WAZIRI MHAGAMA ATEMBELEA KIWANDA CHA MATAIRI CHA GENERAL TYRE ARUSHA

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe.Jenista Mhagama akiangalia moja ya tairi lilipo katika kiwanda cha Matairi cha General Tyre Arusha wakati wa ukaguzi wa Miradi yenye hisa NSSF tarehe 26 Novemba, 2018.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe.Jenista Mhagama akiangalia malighafi zinazotumika kutengeneza matairi na zilizohifadhiwa katika chumba maalumu katika kiwanda hicho.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe.Jenista Mhagama pamoja na Watendaji kutoka NSSF na baadhi ya viongozi wa kiwanda cha Matairi cha General Tyre wakiangalia hali ya miundombimu katika kiwanda hicho.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe.Jenista Mhagama akiuliza jambo kwa Mkurugenzi wa Uwekezaji NSSF Bw.Gabriel Silayo (wa kwanza kushoto) wakati wa ziara yake katika moja ya mradi wenye hisa za shirika hilo
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe.Jenista Mhagama (katikati) akiwa katika ziara yake katika kiwanda cha matairi cha General Tyre Arusha.wa kwanza kulia ni Mkurugenzi wa Uwekezaji NSSF Bw.Gabriel Silayo.
Hivyo makala WAZIRI MHAGAMA ATEMBELEA KIWANDA CHA MATAIRI CHA GENERAL TYRE ARUSHA
yaani makala yote WAZIRI MHAGAMA ATEMBELEA KIWANDA CHA MATAIRI CHA GENERAL TYRE ARUSHA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI MHAGAMA ATEMBELEA KIWANDA CHA MATAIRI CHA GENERAL TYRE ARUSHA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/11/waziri-mhagama-atembelea-kiwanda-cha.html
0 Response to "WAZIRI MHAGAMA ATEMBELEA KIWANDA CHA MATAIRI CHA GENERAL TYRE ARUSHA"
Post a Comment