title : VODACOM YAZINDUA DUKA LAKE MASAKI JIJINI DAR
kiungo : VODACOM YAZINDUA DUKA LAKE MASAKI JIJINI DAR
VODACOM YAZINDUA DUKA LAKE MASAKI JIJINI DAR
Mkuu wa Bidhaa wa Vodacom, Linda Riwa (wapili kulia) na Devota Kijogoo (kulia) wakifurahia katika hafla ya uzinduzi wa duka la Vodacom Masaki, mapema leo. Kampuni hiyo inaendelea kutanua apatikananji wa huduma zake ili kuhakikisha kwamba wateja wake wanapata huduma bora.
Mkuu wa Bidhaa wa Vodacom, Linda Riwa (wapili kulia) na Devota Kijogoo (kulia) wakikata utepe kuzindua duka la Vodacom Masaki mapema leo. Kampuni hiyo inaendelea kutanua apatikananji wa huduma zake ili kuhakikisha kwamba wateja wake wanapata huduma bora.
Mkuu wa Bidhaa wa Vodacom, Linda Riwa (watatu kulia) na Devota Kijogoo ( wapili kulia) wakikata keki katika hafla ya uzinduzi wa duka la Vodacom Masaki. Kampuni hiyo inaendelea kutanua apatikananji wa huduma zake ili kuhakikisha kwamba wateja wake wanapata huduma bora.
Hivyo makala VODACOM YAZINDUA DUKA LAKE MASAKI JIJINI DAR
yaani makala yote VODACOM YAZINDUA DUKA LAKE MASAKI JIJINI DAR Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala VODACOM YAZINDUA DUKA LAKE MASAKI JIJINI DAR mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/04/vodacom-yazindua-duka-lake-masaki.html
0 Response to "VODACOM YAZINDUA DUKA LAKE MASAKI JIJINI DAR"
Post a Comment