SPIKA NDUGAI AKUTANA NA MHAMASISHAJI WA TIMU YA TAIFA STARS PETER MOLLEL ALMAARUFU KAMA PIERRE LIQUID JIJINI DODOMA

SPIKA NDUGAI AKUTANA NA MHAMASISHAJI WA TIMU YA TAIFA STARS PETER MOLLEL ALMAARUFU KAMA PIERRE LIQUID JIJINI DODOMA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SPIKA NDUGAI AKUTANA NA MHAMASISHAJI WA TIMU YA TAIFA STARS PETER MOLLEL ALMAARUFU KAMA PIERRE LIQUID JIJINI DODOMA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SPIKA NDUGAI AKUTANA NA MHAMASISHAJI WA TIMU YA TAIFA STARS PETER MOLLEL ALMAARUFU KAMA PIERRE LIQUID JIJINI DODOMA
kiungo : SPIKA NDUGAI AKUTANA NA MHAMASISHAJI WA TIMU YA TAIFA STARS PETER MOLLEL ALMAARUFU KAMA PIERRE LIQUID JIJINI DODOMA

soma pia


SPIKA NDUGAI AKUTANA NA MHAMASISHAJI WA TIMU YA TAIFA STARS PETER MOLLEL ALMAARUFU KAMA PIERRE LIQUID JIJINI DODOMA

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (wa pili kushoto) akiwa katika picha ya pamoja wakifurahi jambo na Mhamasishaji wa Timu ya Mpira wa Miguu ya Taifa Stars, Ndg. Peter Mollel alimaarufu kama Pierre Liquid ( wa tatu kushoto) walipokutana leo katika Hoteli ya Nashera Jijini Dodoma, kabla ya kumualika Bungeni kwa ajili ya kusikiliza Vikao vya Bunge vilivyoanza jana Jijini Dodoma. Wa tatu kulia ni Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, Katibu wa Bunge, Ndg. Stephen Kagaigai (kushoto), Mbunge wa Vijana kutoka Mkoa wa Dodoma, Mhe. Miriam Ditopile (wa pili kulia) na Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Dodoma, Ndg. Billy Chidabwa
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (wa pili kushoto) akifurahi jambo na Mhamasishaji wa Timu ya Mpira wa Miguu ya Taifa Stars, Ndg. Peter Mollel (wa pili kulia) alimaarufu kama Pierre Liquid walipokutana leo katika Hoteli ya Nashera Jijini Dodoma, kabla ya kumualika Bungeni kwa ajili ya kusikiliza Vikao vya Bunge vilivyoanza jana Jijini Dodoma. Kulia ni Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson na Katibu wa Bunge, Ndg. Stephen Kagaigai
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kulia) akisalimiana na Mhamasishaji wa Timu ya Mpira wa Miguu ya Taifa Stars, Ndg. Peter Mollel alimaarufu kama Pierre Liquid walipokutana leo katika Hoteli ya Nashera Jijini Dodoma, kabla ya kumualika Bungeni kwa ajili ya kusikiliza Vikao vya Bunge vilivyoanza jana Jijini Dodoma. Katikati ni Katibu wa Bunge, Ndg. Stephen Kagaigai
Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (kulia) akisalimiana na Mhamasishaji wa Timu ya Mpira wa Miguu ya Taifa Stars, Ndg. Peter Mollel alimaarufu kama Pierre Liquid (Kushoto) walipokutana leo katika Hoteli ya Nashera Jijini Dodoma, kabla ya kumualika Bungeni kwa ajili ya kusikiliza Vikao vya Bunge vilivyoanza Jana Jijini Dodoma. Katikati ni Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai na Katibu wa Bunge, Ndg. Stephen Kagaigai.(PICHA NA DEONISIUS SIMBA - OFISI YA BUNGE)


Hivyo makala SPIKA NDUGAI AKUTANA NA MHAMASISHAJI WA TIMU YA TAIFA STARS PETER MOLLEL ALMAARUFU KAMA PIERRE LIQUID JIJINI DODOMA

yaani makala yote SPIKA NDUGAI AKUTANA NA MHAMASISHAJI WA TIMU YA TAIFA STARS PETER MOLLEL ALMAARUFU KAMA PIERRE LIQUID JIJINI DODOMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SPIKA NDUGAI AKUTANA NA MHAMASISHAJI WA TIMU YA TAIFA STARS PETER MOLLEL ALMAARUFU KAMA PIERRE LIQUID JIJINI DODOMA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/04/spika-ndugai-akutana-na-mhamasishaji-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "SPIKA NDUGAI AKUTANA NA MHAMASISHAJI WA TIMU YA TAIFA STARS PETER MOLLEL ALMAARUFU KAMA PIERRE LIQUID JIJINI DODOMA"

Post a Comment