title : AWESO ATUMBUA JUMUIYA YA WATUMIA MAJI
kiungo : AWESO ATUMBUA JUMUIYA YA WATUMIA MAJI
AWESO ATUMBUA JUMUIYA YA WATUMIA MAJI
Naibu Waziri wa Maji ameendelea na ziara yake ya kikazi Mkoani
Lindi kwa kutembelea miradi ya maji ya Likwaya, Rutamba na Namangale
iliopo Halmashauri ya Lindi vijijini.
iliopo Halmashauri ya Lindi vijijini.
Pia aliongea na wananchi na kuwasikiliza kero zao zinazohusu sekta ya maji.
Aidha, Mheshimiwa Aweso alitembelea miradi ya Nangumbu na Michenga
iliopo Wilayani Ruangwa na kutoa maagizo.
Katika ziara hizo Naibu Waziri alionesha kutoridhishwa na mwenendo wa
jumuiya zinazosimamia miradi ya maji na kulazimika kuivunja jumuiya ya
watumia maji ya Rutamba baada ya kutoridhishwa na utendaji kazi wao.
Naibu Waziri wa Maji Jumaa Aweso akikagua ujenzi wa kilua cha
kuchotea maji Nangumbu Ruangwa
kuchotea maji Nangumbu Ruangwa
Naibu Waziri wa Maji Mheshimiwa Jumaa Aweso akiongea na wananchi wa
Rutamba Lindi Vijijini.
Rutamba Lindi Vijijini.
Naibu Waziri wa Maji akifungua koki ya maji kujiridhisha kama mradi
unafanya kazi Rutamba.
unafanya kazi Rutamba.
Hivyo makala AWESO ATUMBUA JUMUIYA YA WATUMIA MAJI
yaani makala yote AWESO ATUMBUA JUMUIYA YA WATUMIA MAJI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala AWESO ATUMBUA JUMUIYA YA WATUMIA MAJI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/12/aweso-atumbua-jumuiya-ya-watumia-maji.html
0 Response to "AWESO ATUMBUA JUMUIYA YA WATUMIA MAJI"
Post a Comment