RUKSA WANANCHI JIJI LA MBEYA KUWASILISHA KERO ZAO MBELE YA RAIS DKT JOHN POMBE MAGUFULI-MWENYEKITI WA CCM MBEYA

RUKSA WANANCHI JIJI LA MBEYA KUWASILISHA KERO ZAO MBELE YA RAIS DKT JOHN POMBE MAGUFULI-MWENYEKITI WA CCM MBEYA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RUKSA WANANCHI JIJI LA MBEYA KUWASILISHA KERO ZAO MBELE YA RAIS DKT JOHN POMBE MAGUFULI-MWENYEKITI WA CCM MBEYA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RUKSA WANANCHI JIJI LA MBEYA KUWASILISHA KERO ZAO MBELE YA RAIS DKT JOHN POMBE MAGUFULI-MWENYEKITI WA CCM MBEYA
kiungo : RUKSA WANANCHI JIJI LA MBEYA KUWASILISHA KERO ZAO MBELE YA RAIS DKT JOHN POMBE MAGUFULI-MWENYEKITI WA CCM MBEYA

soma pia


RUKSA WANANCHI JIJI LA MBEYA KUWASILISHA KERO ZAO MBELE YA RAIS DKT JOHN POMBE MAGUFULI-MWENYEKITI WA CCM MBEYA

Na EmanuelMadafa,Mbeya

MWENYEKITI wa Chama cha Mapinduzi wilaya ya Mbeya mjini Humphrey Nsomba, amesema ni ruksa wanachi wa jiji la Mbeya kuwasilisha kero zao mbele ya rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Dokta John Pombe Magufuli ambaye anatarajia kuwa mgeni rasmi kwenye sikuku za mei mosi zitakazo kitaifa Jijini Mbeya .

 Akizungumza na waandishi wa habari kuhusu ujuo wa rais Magufuli jiji la Mbeya, Nsomba amesema kuwa  chama cha mapinduzi Mbeya mjini kimejipanga kikamilifu kumpokea kiongozi huyo mkubwa, kwani ujio wake utakuwa chachu ya maendeleo.

“Tumefurahi sana sisi kama Chama Wilaya ya Mbeya Mjini kuhusu ujio wa Mh Rais Katika Sherehe za Mei Mosi ambazo kitaifa zitafanyika  Jijini Mbeya,kwa Upendo huu ambao ametupa sisi wanambeya   tutajitokeza kwa wingi kwani tunahamu  kubwa ya kumuona na kusikia mambo mazuri kutoka kwake.”Mwenyekiti wa CCM  Wilaya ya Mbeya Mjini ,Afrey Msomba..

Amesema kitendo cha Rais Magufuli kukubali kuwa mgeni rasmi katika sherehe hizo za Mei mosi ni heshima kubwa kwa Chama Cha Mapinduzi na Mkoa wa Mbeya kwa Ujumla.

Amesema Rais Magufuli ametoa kiasi cha Shilingi Bilioni 12 kwa ajili ya ujenzi wa barabara sita za Jiji la Mbeya pamoja kutoa Fedha za ujenzi wa Kituo cha Iyunga na Nzovwe hivyo wanakila sababu ya Kumshukuru.

Kufuatia hatua hiyo Mwenyekiti huyo wa Ccm Wilaya ya Mbeya mjini amewataka wakazi wa Jiji la Mbeya bila kujali itikadi ya vyama vyao kujitokeza kwa wingi katika sherehe hizo za Meimosi ambazo zitafanyika katika Uwanja wa Kumbukumbu ya Sokoine Jijini hapa .


Hivyo makala RUKSA WANANCHI JIJI LA MBEYA KUWASILISHA KERO ZAO MBELE YA RAIS DKT JOHN POMBE MAGUFULI-MWENYEKITI WA CCM MBEYA

yaani makala yote RUKSA WANANCHI JIJI LA MBEYA KUWASILISHA KERO ZAO MBELE YA RAIS DKT JOHN POMBE MAGUFULI-MWENYEKITI WA CCM MBEYA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RUKSA WANANCHI JIJI LA MBEYA KUWASILISHA KERO ZAO MBELE YA RAIS DKT JOHN POMBE MAGUFULI-MWENYEKITI WA CCM MBEYA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/04/ruksa-wananchi-jiji-la-mbeya.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "RUKSA WANANCHI JIJI LA MBEYA KUWASILISHA KERO ZAO MBELE YA RAIS DKT JOHN POMBE MAGUFULI-MWENYEKITI WA CCM MBEYA"

Post a Comment