RAIS DKT. MAGUFULI AWAAPISHA VIONGOZI WAWILI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

RAIS DKT. MAGUFULI AWAAPISHA VIONGOZI WAWILI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RAIS DKT. MAGUFULI AWAAPISHA VIONGOZI WAWILI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RAIS DKT. MAGUFULI AWAAPISHA VIONGOZI WAWILI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM
kiungo : RAIS DKT. MAGUFULI AWAAPISHA VIONGOZI WAWILI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

soma pia


RAIS DKT. MAGUFULI AWAAPISHA VIONGOZI WAWILI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Adolf Ndunguru kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango (Sera) Ikulu jijini Dar es Salaam.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Msafiri Mbibo kuwa Naibu Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Ikulu jijini Dar es Salaam.
 Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango (Sera) Adolf Ndunguru akiwa pamoja na Naibu Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) wakati wakila Kiapo cha Uadilifu  Ikulu jijini Dar es Salaam.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisikiliza salamu mbalimbali zilizokuwa zikitolewa Ikulu jijini Dar es Salaam mara baada ya kumuapisha Adolf Ndunguru kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango (Sera) pamoja na Msafiri Mbibo kuwa Naibu Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza mara baada ya kuwaapisha viongozi hao Ikulu jijini Dar es Salaam.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya kumbukumbu na Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi wa John Kijazi, Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Ashatu Kijaji wakwanza kushoto Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango (Sera) Adolf Ndunguru  wapili kutoka kulia Naibu Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Msafiri Mbibo wapili kutoka kushoto mara baada ya tukio la uapisho Ikulu jijini Dar es Salaam. PICHA NA IKULU


Hivyo makala RAIS DKT. MAGUFULI AWAAPISHA VIONGOZI WAWILI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

yaani makala yote RAIS DKT. MAGUFULI AWAAPISHA VIONGOZI WAWILI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RAIS DKT. MAGUFULI AWAAPISHA VIONGOZI WAWILI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/04/rais-dkt-magufuli-awaapisha-viongozi.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "RAIS DKT. MAGUFULI AWAAPISHA VIONGOZI WAWILI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM"

Post a Comment