title : NMB YATOA MSAADA WA MABATI,VITANDA NA MADAWATI CHUO CHA VETA KALAMBO MKOANI RUKWA
kiungo : NMB YATOA MSAADA WA MABATI,VITANDA NA MADAWATI CHUO CHA VETA KALAMBO MKOANI RUKWA
NMB YATOA MSAADA WA MABATI,VITANDA NA MADAWATI CHUO CHA VETA KALAMBO MKOANI RUKWA

Naibu Waziri Tamisemi Mh Josephat Kandege akizungumza jambo mara baada ya kukabidhiwa Msaada wa Mabati 802 ,Vitanda 8 vya Hospital pamoja na Madawati 50 vyenye Jumla ya Thamani ya shilingi Mil 35 Kutoka kwa Meneja wa NMB Kanda ya Nyanda za Juu Kusini ,Straton Chilongola Mwenye Suti nyeusi (kulia) hafla ambayo imefanyika katika Soko la Wakulima Halmashauri ya Wilaya ya Kalambo Mkoani Rukwa.March 30,2019.
Meneja wa NMB Kanda ya Nyanda za Juu Kusini Straton Chilongola(Kulia) akimkabidhi Naibu Waziri wa Tamisemi Mh Josephat Kandege msaada wa Vitanda 8 vilivyotolewa na Benki hiyo kwa ajili ya Chuo cha Veta Kalambo Mkoani Rukwa,Kushoto Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Joachim Wangambo na Juliet Benyura Mkuu wa Wilaya ya Kalambo ,hafla ambayo imefanyika katika Soko la wakulima Halmashauri ya Wilaya ya Kalambo March 30,2019.
Meneja wa NMB Kanda ya Nyanda za Juu Kusini Straton Chilongola(Kulia) akimkabidhi Madawati 50 Naibu Waziri wa Tamisemi Mh Josephat Kandege (MB) kwa ajili ya Chuo cha Veta Kalambo Mkoani Rukwa,Kushoto Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Joachim Wangambo , Vitu vingine vilivyotolewa na Benki hiyo ya NMB kwa ajili ya Chuo hicho ni pamoja na Vitanda 8 vya hospital,Mabati 802 ,hafla ambayo imefanyika katika Soko la wakulima Halmashauri ya Wilaya ya Kalambo March

Hivyo makala NMB YATOA MSAADA WA MABATI,VITANDA NA MADAWATI CHUO CHA VETA KALAMBO MKOANI RUKWA
yaani makala yote NMB YATOA MSAADA WA MABATI,VITANDA NA MADAWATI CHUO CHA VETA KALAMBO MKOANI RUKWA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala NMB YATOA MSAADA WA MABATI,VITANDA NA MADAWATI CHUO CHA VETA KALAMBO MKOANI RUKWA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/04/nmb-yatoa-msaada-wa-mabativitanda-na.html
0 Response to "NMB YATOA MSAADA WA MABATI,VITANDA NA MADAWATI CHUO CHA VETA KALAMBO MKOANI RUKWA"
Post a Comment