title : NUKUU ZA NDG. HUMPHREY POLEPOLE KWENYE DARASA LA ITIKADI - CHUO CHA TAIFA CHA USAFIRISHAJI KATA YA MABIBO
kiungo : NUKUU ZA NDG. HUMPHREY POLEPOLE KWENYE DARASA LA ITIKADI - CHUO CHA TAIFA CHA USAFIRISHAJI KATA YA MABIBO
NUKUU ZA NDG. HUMPHREY POLEPOLE KWENYE DARASA LA ITIKADI - CHUO CHA TAIFA CHA USAFIRISHAJI KATA YA MABIBO
1. " Ukiwa Mwanachama wa CCM lazima usome na uelewe kuhusu Chama chetu tunataka kuendesha Chama chetu kisayansi, tunataka kuendesha Chama chetu kisasa ili tutimize shabaha ya kuwatumikia watanzania kwa uaminifu, uadilifu na kwa kasi zaidi" Ndg. Polepole
2. "Mageuzi ya Chama chetu yanakwenda sambamba na kuhakikisha kuwa tunakuwa na Viongozi waaminifu, wachapakazi, wanachukizwa na rushwa na wanaokubalika ndani ya Chama na nje ya Chama ndani ya Jamii" Ndg. Polepole
3. "Wapo watu wamechagua kutubeza, kumbeza Rais wetu na kubeza maendeleo ya wananchi, wanaCCM tusimame imara na tukitetee Chama chetu na Serikali yetu wakati wote" Ndg. Polepole
4. "Siku hizi hapa Tanzania CCM ndio habari ya mjini, watu wote tunaojitambua tupo CCM upende usipende huo ndio uhalisia" Ndg. Polepole
5. "Mwaka jana 2018 Rais wetu amefanya kitendo ambacho Afrika nzima hakuna nchi imewahi kufanya, alipoona wanunuzi wakorosho wanawalangua wakulima Serikali ilifanya uamuzi wa kununua Korosho yote sio ipate faida bali istiri jasho la mkulima" Ndg. Polepole
6. "Tunatoa wito ifike wakati Serikali itunge sheria ya kuwaratibu madalali hawa wana wanyonya sana wakulima" Ndg. Polepole
7. "Tukapojua wapi kuna shida za watu tukazitatua tutakuwa na nafasi nzuri sana kwenye chaguzi" Ndg. Polepole
8. "Chama tunampango uliyotukuka wa kuwatumikia watanzania kwa vizazi vitatu, kizazi cha kwanza 2025 - 2050, kizazi cha pili 2050 - 2075 na kizazi cha tatu 2075 - 2100 na hapa Tanzania itakuwa zaidi ya ulaya" Ndg. Polepole
Imetolewa na,
IDARA YA ITIKADI NA UENEZI
CHAMA CHA MAPINDUZI
Hivyo makala NUKUU ZA NDG. HUMPHREY POLEPOLE KWENYE DARASA LA ITIKADI - CHUO CHA TAIFA CHA USAFIRISHAJI KATA YA MABIBO
yaani makala yote NUKUU ZA NDG. HUMPHREY POLEPOLE KWENYE DARASA LA ITIKADI - CHUO CHA TAIFA CHA USAFIRISHAJI KATA YA MABIBO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala NUKUU ZA NDG. HUMPHREY POLEPOLE KWENYE DARASA LA ITIKADI - CHUO CHA TAIFA CHA USAFIRISHAJI KATA YA MABIBO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/04/nukuu-za-ndg-humphrey-polepole-kwenye.html
0 Response to "NUKUU ZA NDG. HUMPHREY POLEPOLE KWENYE DARASA LA ITIKADI - CHUO CHA TAIFA CHA USAFIRISHAJI KATA YA MABIBO"
Post a Comment