title : TYVA, UNA na East Africa Youth Club zakutana na vijana jijini Dar
kiungo : TYVA, UNA na East Africa Youth Club zakutana na vijana jijini Dar
TYVA, UNA na East Africa Youth Club zakutana na vijana jijini Dar
Baadhi ya Viongozi kutoka Asasi za Vijana wakiwapungia mkiono baadhi ya vijana wenzao walioshiriki maadhimisho ya Siku ya Vijana Dunia ambayo ilifanyika katika Shule ya Sekondari Kibasila Jijini Dar es Salaam jana. Asasi hizo ni TYVA, UNA na East Africa Youth Club. Kauli mbiu ya maadhimisho hayo ni “ushiriki na ushirikishwaji wa vijana katika kudumisha amani” ambayo imetokana na lengo namba 16 la maendeleo endelevu ya millennia.
Baadhi ya vijana wa mkoa wa Dar es Salaam walioshiriki maadhimisho ya Siku ya Vijana Dunia ambayo ilifanyika katika Shule ya Sekondari Kibasila Jijini Dar es Salaam jana wakifuatilia mada mbalimbali zilizokuwa zikiwasilishwa na viongozi a kutoka Asasi za Vijana. Asasi hizo ni TYVA, UNA na East Africa Youth Club. Kauli mbiu ya maadhimisho hayo ni “ushiriki na ushirikishwaji wa vijana katika kudumisha amani” ambayo imetokana na lengo namba 16 la maendeleo endelevu ya millennia.

Hivyo makala TYVA, UNA na East Africa Youth Club zakutana na vijana jijini Dar
yaani makala yote TYVA, UNA na East Africa Youth Club zakutana na vijana jijini Dar Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala TYVA, UNA na East Africa Youth Club zakutana na vijana jijini Dar mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/tyva-una-na-east-africa-youth-club.html
0 Response to "TYVA, UNA na East Africa Youth Club zakutana na vijana jijini Dar"
Post a Comment