title : MATUKIO MBALIMBALI YA WAZIRI MKUU BUNGENI JIJINI DODOMA LEO
kiungo : MATUKIO MBALIMBALI YA WAZIRI MKUU BUNGENI JIJINI DODOMA LEO
MATUKIO MBALIMBALI YA WAZIRI MKUU BUNGENI JIJINI DODOMA LEO
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Naibu Spika wa Bunge la Tanzania, Tulia Ackson (kulia), na Mbunge wa Sumve, Richard Ndasa Bungeni jijini Dodoma Aprili 17, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa viti Maalum, Upendo Peneza, Bungeni jijini Dodoma Aprili 17, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Wawi (CUF) Ahmed Ngwali, katika viwanja vya Bunge jijini Dodoma Aprili 17, 2019. Katikati ni Mbunge wa Mafinga Cosato Chumi. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungunza na Mbunge wa Mtwara Mjini (CUF), Maftah Nachuma, katika viwanja vya Bunge jijini Dodoma Aprili 17, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Hivyo makala MATUKIO MBALIMBALI YA WAZIRI MKUU BUNGENI JIJINI DODOMA LEO
yaani makala yote MATUKIO MBALIMBALI YA WAZIRI MKUU BUNGENI JIJINI DODOMA LEO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MATUKIO MBALIMBALI YA WAZIRI MKUU BUNGENI JIJINI DODOMA LEO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/04/matukio-mbalimbali-ya-waziri-mkuu_17.html
0 Response to "MATUKIO MBALIMBALI YA WAZIRI MKUU BUNGENI JIJINI DODOMA LEO"
Post a Comment