title : KUONDOLEWA KWA VAT KWENYE TAULO ZA KIKE KWAPONGEZWA
kiungo : KUONDOLEWA KWA VAT KWENYE TAULO ZA KIKE KWAPONGEZWA
KUONDOLEWA KWA VAT KWENYE TAULO ZA KIKE KWAPONGEZWA
I4ID kwa kushirikiana na Taasisi binafsi ambao ni wabia wake walishiriki kwenye Maonyesho ya ubunifu yaliyofanyika kuanzia tarehe 25 mpaka 29 Mwezi March 2019 COSTECH BUILDING,Sayansi kijitonyama,Dar es salaam.
Wabia wa I4ID wakizungumzia katika maonesho hayo walishukuru serikali kuondoa tozo ya ushuru (VAT) katika soko la bidhaa za taulo za kike,wabiahaowalioshiriki katika maoneshohayo ni kama ANUFLO (Hedhicup),ELEA,GLORYPADS pamoja na BINTI FOUNDATION.
Kwa upandewa mabaloziwa hedhisalama/hedhi salama inatuhusu Wasanii JB na Wastara alishiriki kikamilifu katika kuelimisha umma katika maonesho hayo.
Hivyo makala KUONDOLEWA KWA VAT KWENYE TAULO ZA KIKE KWAPONGEZWA
yaani makala yote KUONDOLEWA KWA VAT KWENYE TAULO ZA KIKE KWAPONGEZWA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala KUONDOLEWA KWA VAT KWENYE TAULO ZA KIKE KWAPONGEZWA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/04/kuondolewa-kwa-vat-kwenye-taulo-za-kike.html
0 Response to "KUONDOLEWA KWA VAT KWENYE TAULO ZA KIKE KWAPONGEZWA"
Post a Comment