NAIBU WAZIRI MHE.MANYANYA AFUNGUA RASMI MKUTANO WA VIDEO CONFERENCE

NAIBU WAZIRI MHE.MANYANYA AFUNGUA RASMI MKUTANO WA VIDEO CONFERENCE - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa NAIBU WAZIRI MHE.MANYANYA AFUNGUA RASMI MKUTANO WA VIDEO CONFERENCE, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : NAIBU WAZIRI MHE.MANYANYA AFUNGUA RASMI MKUTANO WA VIDEO CONFERENCE
kiungo : NAIBU WAZIRI MHE.MANYANYA AFUNGUA RASMI MKUTANO WA VIDEO CONFERENCE

soma pia


NAIBU WAZIRI MHE.MANYANYA AFUNGUA RASMI MKUTANO WA VIDEO CONFERENCE

Naibu Waziri Mhe. Injinia Stella Manyanya afungua rasmi mkutano kwa njia ya Mtandao yaan (Video Conference) wa Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji na Mamlaka za mikoa na Halmashsauri za Wilaya kuhusu masuala ya sekta ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji pamoja na taasisi zake leo Tarehe 18 – 20 Disemba, 2017 na kuunganisha wadau kutoka mikoa ya Mbeya, Songwe, Kilimanjaro, Ruvuma, Kigoma, Lindi, Singida, Pwani na Dodoma.

Mhe. Naibu Waziri aliwashukuru Makatibu Tawala wa Mikoa, Wasaidizi wao na Wakurugenzi wa Halmashauri za wilaya ambao wameitikia wito pamoja na wataalamu na maafisa mbalimbali.

Wizara ilianza na taasisi yake ya BRELA ambayo ilielezea majukujumu yake na huduma mbalimbali wanazotoa kwa umma na kutoa fursa ya wadau kutoka mikoa yote iliyoshiriki walipata fursa ya kuuliza maswali na kujibiwa papo kwa papo


Hivyo makala NAIBU WAZIRI MHE.MANYANYA AFUNGUA RASMI MKUTANO WA VIDEO CONFERENCE

yaani makala yote NAIBU WAZIRI MHE.MANYANYA AFUNGUA RASMI MKUTANO WA VIDEO CONFERENCE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala NAIBU WAZIRI MHE.MANYANYA AFUNGUA RASMI MKUTANO WA VIDEO CONFERENCE mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/12/naibu-waziri-mhemanyanya-afungua-rasmi.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "NAIBU WAZIRI MHE.MANYANYA AFUNGUA RASMI MKUTANO WA VIDEO CONFERENCE"

Post a Comment