title : Kimbunga Kenneth: Mamlaka za Hali ya Hewa Msumbiji, Tanzania zatoa tathmini
kiungo : Kimbunga Kenneth: Mamlaka za Hali ya Hewa Msumbiji, Tanzania zatoa tathmini
Kimbunga Kenneth: Mamlaka za Hali ya Hewa Msumbiji, Tanzania zatoa tathmini
Kumezuka hofu ya kimbunga kwenye upwa wa magharibi wa Bahari ya Hindi hususan katika nchi za Msumbiji na Tanzania.
Mtandao uliobobea kwenye masuala ya hali ya hewa wa AccuWeather wa nchini Marekani umeripoti kuwa mwenendo wa mifumo ya hali ya hewa katika bahari ya Hindi huenda ukapelekea kutokea Kimbunga kitakachopewa jina la Kenneth.
Iwapo kimbunga hicho kitatokea, kinatazamiwa kuathiri maeneo ya kuanzia Lindi kusini mwa Tanzania mpaka Pemba kaskazini mwa Msumbiji.
Mtandao huo pia umebainisha kuwa mgandamizo huo wa baharini unaweza kupoteza makali na kimbunga kisitokee, ila badala yake mvua kubwa zinaweza kutokea na kuathiri maeneo hayo.
"Mvua kali zinazoweza kusababisha mafuriko na mmomonyoko wa udongo katika maeneo kama Masasi na Tunduru nchini Tanzania, pia Marrupu na Montepuez kwa upande wa Msumbiji," imeeleza taarifa ta AccuWeather.
Kusoma zaidi Bofya Hapa>>>>
Hivyo makala Kimbunga Kenneth: Mamlaka za Hali ya Hewa Msumbiji, Tanzania zatoa tathmini
yaani makala yote Kimbunga Kenneth: Mamlaka za Hali ya Hewa Msumbiji, Tanzania zatoa tathmini Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Kimbunga Kenneth: Mamlaka za Hali ya Hewa Msumbiji, Tanzania zatoa tathmini mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/04/kimbunga-kenneth-mamlaka-za-hali-ya.html
0 Response to "Kimbunga Kenneth: Mamlaka za Hali ya Hewa Msumbiji, Tanzania zatoa tathmini"
Post a Comment