Halmashauri zaaswa kutekeleza sera na mipango ya watoto wanaoishi na kufanya kazi mitaani-Railway Children

Halmashauri zaaswa kutekeleza sera na mipango ya watoto wanaoishi na kufanya kazi mitaani-Railway Children - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Halmashauri zaaswa kutekeleza sera na mipango ya watoto wanaoishi na kufanya kazi mitaani-Railway Children, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Halmashauri zaaswa kutekeleza sera na mipango ya watoto wanaoishi na kufanya kazi mitaani-Railway Children
kiungo : Halmashauri zaaswa kutekeleza sera na mipango ya watoto wanaoishi na kufanya kazi mitaani-Railway Children

soma pia


Halmashauri zaaswa kutekeleza sera na mipango ya watoto wanaoishi na kufanya kazi mitaani-Railway Children

Na Chalila Kibuda,Globu ya Jamii.

Shirika la Railway Children limesema kuwa serikali imefanya mikakati mbalimbali yanayohusu watoto kilichobaki ni utekelezaji wa kwa halmashauri katika kuingiza mipango ya watoto wanaoishi na kufanya kazi mitaani lisiwepo.

Akizungumza na waandishi wa habari jiji Dar es Salaam Mkurugenzi Mkazi wa Shirika hilo Mussa Mugatta wakati akitangaza maadhimisho ya Siku ya Watoto wanaoishi na kufanya kazi mtaani ambayo hufanyika kila Aprili 12 ya mwaka, amesema ipo haja kwa mamlaka za serikali za mtaa kuingiza mipango ya watoto kutokana na serikali kuu imeweza kufanya kila kitu hivyo serikali za mitaa zinawajibu wa kugusa eneo watoto wanaoishi na kufanya kazi mtaani.

Amesema Railway Children inafanya kazi na majiji sita nchini katika kuhakikisha watoto wanaoishi na kufanya kazi mtaani linasimamiwa ili kuleta ustawi kwa watoto hao.

Mugatta amesema makundi yw watoto yapo 13 katika utekelezaji wa masuala ya watoto wanaoishi na kufanya kazi ni pamoja nchi kuridhia mkataba wa kimataifa wa umoja wa mataifa katika eneo la watoto wanaoishi na kufanya kazi mitaani.

Aidha amesema kuwa watoto wanaoishi kazi wanatoka mkoa moja kwenda mwingine hivyo kwa Halmashauri lazima wafatilie kwa watoto wanaosafiri kujua wanakwenda wapi kwani baadhi wanatakiwa kuwa shule.

Mugatta amesema wananchi katika kukabiliana na watoto wanaoishi na kufanya kazi mtaani kila mmoja katika nafasi yaka anachukua hatua ya kuokoa kundi hilo.Amesema kama shirika linaendelea kushirikiana na wadau mbalimbali katika juhudi za kuhakikisha watoto wanaoishi na kufanya kazi mitaani wanalindwa kutokuwepo.

Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Railway Children Mussa Mugatta akizungumza na waandishi wa habari wakati akitangaza wiki ya maadhimisho Siku Watoto wanaoishi na kufanya kazi ambayo huadhimishwa kila Aprili 12 ya kila mwaka.


Hivyo makala Halmashauri zaaswa kutekeleza sera na mipango ya watoto wanaoishi na kufanya kazi mitaani-Railway Children

yaani makala yote Halmashauri zaaswa kutekeleza sera na mipango ya watoto wanaoishi na kufanya kazi mitaani-Railway Children Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Halmashauri zaaswa kutekeleza sera na mipango ya watoto wanaoishi na kufanya kazi mitaani-Railway Children mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/04/halmashauri-zaaswa-kutekeleza-sera-na.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Halmashauri zaaswa kutekeleza sera na mipango ya watoto wanaoishi na kufanya kazi mitaani-Railway Children"

Post a Comment