title : RAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA AFISA MWENDESHAJI MKUU WA KAMPUNI YA BARRICK GOLD CORPORATION (AFRICA NA MASHARIKI YA KATI) IKULU
kiungo : RAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA AFISA MWENDESHAJI MKUU WA KAMPUNI YA BARRICK GOLD CORPORATION (AFRICA NA MASHARIKI YA KATI) IKULU
RAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA AFISA MWENDESHAJI MKUU WA KAMPUNI YA BARRICK GOLD CORPORATION (AFRICA NA MASHARIKI YA KATI) IKULU
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Ofisa Mwendeshaji Mkuu wa Kampuni ya Barrick Gold Corporation ( kwa Afrika na Mashariki ya Kati) Bw. Willem Jacobs alipokutana naye kwa mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam leo Februari 20, 2019.
: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa Sheria na Katiba Profesa Palamagamba Kabudi na Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania Profesa Florens Luoga wakiwa katika mazungumzo na Ofisa Mwendeshaji Mkuu wa Kampuni ya Barrick Gold Corporation ( kwa Afrika na Mashariki ya Kati) Bw. Willem Jacobs na ujumbe wake walipokutana Ikulu jijini Dar es salaam leo Februari 20, 2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Ofisa Mwendeshaji Mkuu wa Kampuni ya Barrick Gold Corporation ( kwa Afrika na Mashariki ya Kati) Bw. Willem Jacobs baada ya kukutana na kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam leo Februari 20, 2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa Sheria na Katiba Profesa Palamagamba Kabudi na Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania Profesa Florens Luoga katika picha ya pamoja na Ofisa Mwendeshaji Mkuu wa Kampuni ya Barrick Gold Corporation ( kwa Afrika na Mashariki ya Kati) Bw. Willem Jacobs na ujumbe wake baada ya kukutana na kufanya mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam leo Februari 20, 2019.
PICHA NA IKULU
Hivyo makala RAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA AFISA MWENDESHAJI MKUU WA KAMPUNI YA BARRICK GOLD CORPORATION (AFRICA NA MASHARIKI YA KATI) IKULU
yaani makala yote RAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA AFISA MWENDESHAJI MKUU WA KAMPUNI YA BARRICK GOLD CORPORATION (AFRICA NA MASHARIKI YA KATI) IKULU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA AFISA MWENDESHAJI MKUU WA KAMPUNI YA BARRICK GOLD CORPORATION (AFRICA NA MASHARIKI YA KATI) IKULU mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/02/rais-dkt-magufuli-akutana-na-afisa.html
0 Response to "RAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA AFISA MWENDESHAJI MKUU WA KAMPUNI YA BARRICK GOLD CORPORATION (AFRICA NA MASHARIKI YA KATI) IKULU"
Post a Comment