Dkt. Ndumbaro afanya mazungumzo na Mwakilishi wa JICA nchini

Dkt. Ndumbaro afanya mazungumzo na Mwakilishi wa JICA nchini - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Dkt. Ndumbaro afanya mazungumzo na Mwakilishi wa JICA nchini, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Dkt. Ndumbaro afanya mazungumzo na Mwakilishi wa JICA nchini
kiungo : Dkt. Ndumbaro afanya mazungumzo na Mwakilishi wa JICA nchini

soma pia


Dkt. Ndumbaro afanya mazungumzo na Mwakilishi wa JICA nchini

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mheshimiwa Dkt. Damas Daniel Ndumbaro (Mb.), amefanya mazungumzo na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Kimataifa la Japan (JICA) nchini, Bw.Naofumi Yamamura, hivi karibuni katika ofisi za wizara Dodoma. Mazungumzo hayo, yanalenga kuimarisha ushirikiano wa Tanzania na Japan kupitia shirika hilo katika masuala ya miundombinu. 
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Damas Daniel Ndumbaro, akisalimiana na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Kimataifa la Japan (JICA) nchini, Bw. Naofumi Yamamura,mara baada ya kuwasili katika ofisi za wizara.
Afisa Mambo ya Nje wa Idara ya Asia na Australasia katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashiriki, Bi. Bertha Makilagi na Katibu wa Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Bw. Charles Faini, wakifuatilia mazungumzo hayo. 
Afisa Mwandamizi wa Shirika la Maendeleo la Kimataifa la Japan (JICA), Takusaburo Kimura, akifafanua jambo wakati wa mazungumzo hayo. 
Wawakilishi wa Shirika la Maendeleo la Kimataifa la Japan (JICA) nchini, Bw. Naofumi Yamamura na Afisa Mwandamizi wa shirika hilo, Bw. Takusaburo Kimura, wakimsikiliza Naibu Waziri wa mambo ya Nje na Ushirkiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Damas Daniel Ndumbaro (hayupo pichani).


Hivyo makala Dkt. Ndumbaro afanya mazungumzo na Mwakilishi wa JICA nchini

yaani makala yote Dkt. Ndumbaro afanya mazungumzo na Mwakilishi wa JICA nchini Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Dkt. Ndumbaro afanya mazungumzo na Mwakilishi wa JICA nchini mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/04/dkt-ndumbaro-afanya-mazungumzo-na_17.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Dkt. Ndumbaro afanya mazungumzo na Mwakilishi wa JICA nchini"

Post a Comment