NEWS ALERT: MZEE JUMA MBIZO AINGIA STUDIO KUACHIA KIBAO CHA BONGO FLEVA NA MWANAE H-MBIZO

NEWS ALERT: MZEE JUMA MBIZO AINGIA STUDIO KUACHIA KIBAO CHA BONGO FLEVA NA MWANAE H-MBIZO - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa NEWS ALERT: MZEE JUMA MBIZO AINGIA STUDIO KUACHIA KIBAO CHA BONGO FLEVA NA MWANAE H-MBIZO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : NEWS ALERT: MZEE JUMA MBIZO AINGIA STUDIO KUACHIA KIBAO CHA BONGO FLEVA NA MWANAE H-MBIZO
kiungo : NEWS ALERT: MZEE JUMA MBIZO AINGIA STUDIO KUACHIA KIBAO CHA BONGO FLEVA NA MWANAE H-MBIZO

soma pia


NEWS ALERT: MZEE JUMA MBIZO AINGIA STUDIO KUACHIA KIBAO CHA BONGO FLEVA NA MWANAE H-MBIZO

Inaweza kukuwia vigumu kuamini, lakini ndiyo hivyo tena, akiwa anatimiza umri wa miaka 68, miaka 39 ya kuwepo kwenye fani za michezo na burudani, Mzee Juma Mbizo ameamua kuingia studio kwa mara kwanza na kufanya ‘kolabo’ na mwanae H-Mbizo.
Naam Mzee Mbizo amejitosa katika studio za Fire Music chini ya producer More Fire na kurekodi wimbo wa pamoja na H-Mbizo aliyepata kutamba na wimbo wa “Mchumba”.
H-Mbizo ambaye pia ni mwandishi mzuri wa nyimbo akiwa amewaandikia wasanii wengi akiwemo Snura kupitia wimbo “Majanga”, ameuambia mtandao huu kuwa kibao hicho alichoimba na baba yake kitaachiwa hewani mwezi huu.
Licha ya ukongwe wake kwenye game na utalaam wa kuandaa matamasha makubwa ya burudani, lakini Mzee Mbizo hakuwahi kuingia studio na kurekodi wimbo wowote ule na hii ndio hali itayofanya kazi hii alishoshirikishwa na mwanae iteke masikio ya mashabiki wengi wa muziki.


Hivyo makala NEWS ALERT: MZEE JUMA MBIZO AINGIA STUDIO KUACHIA KIBAO CHA BONGO FLEVA NA MWANAE H-MBIZO

yaani makala yote NEWS ALERT: MZEE JUMA MBIZO AINGIA STUDIO KUACHIA KIBAO CHA BONGO FLEVA NA MWANAE H-MBIZO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala NEWS ALERT: MZEE JUMA MBIZO AINGIA STUDIO KUACHIA KIBAO CHA BONGO FLEVA NA MWANAE H-MBIZO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/06/news-alert-mzee-juma-mbizo-aingia.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "NEWS ALERT: MZEE JUMA MBIZO AINGIA STUDIO KUACHIA KIBAO CHA BONGO FLEVA NA MWANAE H-MBIZO"

Post a Comment