Betri la kuongoza Taa barabarani latia hasara serikali

Betri la kuongoza Taa barabarani latia hasara serikali - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Betri la kuongoza Taa barabarani latia hasara serikali, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Betri la kuongoza Taa barabarani latia hasara serikali
kiungo : Betri la kuongoza Taa barabarani latia hasara serikali

soma pia


Betri la kuongoza Taa barabarani latia hasara serikali

Na Editha Edward- Tabora

Zaidi ya shilingi Milioni Tatu zimetumika  kununua betri la kuongozea taa za barabarani lililoibiwa katika makutano ya barabara la isevya wilaya ya Tabora mjini mkoani Tabora, Jambo ambalo limesababisha hasara kwa serikali ili hali fedha hiyo ingetumika kwa maendeleo mengine

Hayo yamesemwa na Mkuu wa kitengo cha barabarani TANROADS Raphael Mlimaji amesema wizi wa betri hiyo imesababisha kusimama kwa kutumika Taa katika eneo husika,jambo ambalo limesababisha  ongezeko la ajali za barabarani

"Hii hasara imesababishwa na mtu mmoja lakini pia imeaathiri wananchi, Kati yetu wanamfahamu na nchi inataka kusonga mbele mnarudisha nyuma ni kinyume cha Sheria"Amesema Mlimaji

Naye kamanda wa jeshi la polisi wilaya ya Tabora John Mfinanga amesema kila mwananchi awe mlinzi wa mwenzake ili kuweza kuwafikisha wahalifu kwenye vyombo husika ili  kuweza kuimarisha usalama katika jamii

"Unapo iba vifaa vya barabarani si kwa kuikomoa serikali bali unakomoa wananchi wote ni vyema tushirikiane kuwafichua wezi hawa kwani wanarudisha nyuma maendeleo ya mkoa wetu"Amesema Mfinanga

Aidha Kamanda wa usalama barabarani Ame     Malawi,amewataka wananchi mkoani Tabora kufuata Sheria za barabarani ili kuweza kusaidia kuondokana na ajali za Mara kwa Mara.


Kamanda wa Jeshi la polisi wilaya ya Tabora, John Mfinanga
 


Hivyo makala Betri la kuongoza Taa barabarani latia hasara serikali

yaani makala yote Betri la kuongoza Taa barabarani latia hasara serikali Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Betri la kuongoza Taa barabarani latia hasara serikali mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/04/betri-la-kuongoza-taa-barabarani-latia.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Betri la kuongoza Taa barabarani latia hasara serikali"

Post a Comment