ACT WAZALENDO WAKIANDAMANA TU WATAPIGWA WATACHAKA-MUROTO

ACT WAZALENDO WAKIANDAMANA TU WATAPIGWA WATACHAKA-MUROTO - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa ACT WAZALENDO WAKIANDAMANA TU WATAPIGWA WATACHAKA-MUROTO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : ACT WAZALENDO WAKIANDAMANA TU WATAPIGWA WATACHAKA-MUROTO
kiungo : ACT WAZALENDO WAKIANDAMANA TU WATAPIGWA WATACHAKA-MUROTO

soma pia


ACT WAZALENDO WAKIANDAMANA TU WATAPIGWA WATACHAKA-MUROTO

Na Said Mwishehe,Globu ya jamii

WAKATI kesho ya Aprili 9,mwaka huu Chama cha ACT Wazalendo kikitarajia kufanya maandamano makubwa ,tayari Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma limesema limejipanga kukabiliana na waandamanaji hao na iwapo watajitokeza watapigwa mkapa watachakaa.

Akizungumza leo Aprili 8,2019, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Gilles Muroto amesema kuwa kupitia mitandao ya kijamii kuna taarifa za ACT Wazalendo kutaka kufanya maandamano kwa kushirikiana na baadhi ya vyama vingine kikiwemo Chama cha NCCR-Mageuzi.

"ACT Wazalendo wanakusudia kufanya maandamano kesho yaani Apirili 9,2019. Nataka kuwaambia hao wanaotangaza maandamano kwa njia ya mtandao wakiingia barabarani kama ni kweli watapigwa watachaa.Narudia tena watapigwa watachakaa,"amesema Kamanda Muroto .

Amefafanua Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma kwa sasa linaendelea na mazoezi na lipo tayari kukabiliana na wandamanaji, hivyo wanawasubiri kwa hamu kama wapo huku akifafanua maandamano hayo ni haramu na hayapaswi kufanyika.

"Wananchi wa Mkoa wa Dodoma msiwe na wasiwasi, endeleeni na shughuli zenu kama kawaida na wabunge nao waendelee na vikao vya Bunge.Polisi tumejipanga na tuko tayari,"amesema Kamanda Muroto na kusisitiza watakaondamana hiyo kesho watapigwa watachaa.

Kwa kukumbusha tu, ACT Wazalendo walitangaza kufanyika kwa maandamano hayo ikiwa ni sehemu ya kuonesha hisia zao za kutofurahishwa na uamuzi wa Bunge la kutofanya kazi na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali(CAG) Profesa Mussa Assad


Hivyo makala ACT WAZALENDO WAKIANDAMANA TU WATAPIGWA WATACHAKA-MUROTO

yaani makala yote ACT WAZALENDO WAKIANDAMANA TU WATAPIGWA WATACHAKA-MUROTO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala ACT WAZALENDO WAKIANDAMANA TU WATAPIGWA WATACHAKA-MUROTO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/04/act-wazalendo-wakiandamana-tu-watapigwa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "ACT WAZALENDO WAKIANDAMANA TU WATAPIGWA WATACHAKA-MUROTO"

Post a Comment