title : Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Afungua Mkutano Mkuu wa Sita wa Umoja wa Maafisa Elimu wa Mikoa na Halmashauri.
kiungo : Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Afungua Mkutano Mkuu wa Sita wa Umoja wa Maafisa Elimu wa Mikoa na Halmashauri.
Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Afungua Mkutano Mkuu wa Sita wa Umoja wa Maafisa Elimu wa Mikoa na Halmashauri.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipofungua Mkutano Mkuu wa Sita wa Maafisa Elimu wa Mikoa na Halmashauri (REDOA) kwenye ukumbi wa Chuo cha Mipango jijini Dodoma, Machi 26, 2019.
Baadhi ya washiriki wa Mkutano Mkuu wa Sita wa Maafisa Elimu wa Mikoa na Halmashauri (REDOA) wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipofungua Mkutano huo kwenye ukumbi wa Chuo cha Mipango jijini Dodoma
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI, Selemani Jafo baada ya kufungua Mkutano Mkuu wa Sita wa Maafisa Elimu wa Mikoa na Halmashuri (REDOA) kwenye ukumbi wa Chuo cha Mipango jijini Dodoma, Machi 26, 2019. Kulia ni Waziri wa Elimu, Sayansi na Tekinolojia, Profesa Joyce Ndalichako, wa pili kulia ni Mwenyekiti wa REDOA, Germana Mung'aho.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na Mwenyekiti wa Umoja wa Maafisa Elimu wa Mikoa na Halmashauri (REDOA), German Mung'aho baada ya kufungua Mkutano Mkuu wa Sita wa REDOA kwenye ukumbi wa Chuo cha Mipango jijini Dodoma, Machi 26, 2019. Wa pili kulia ni Waziri wa Elimu, Sayansi na Tekinolojia, Profesa Joyce Ndalichako, kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, TAMISEMI, Selemani Jafo na kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Patrobas Katambi
, Machi 26, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Hivyo makala Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Afungua Mkutano Mkuu wa Sita wa Umoja wa Maafisa Elimu wa Mikoa na Halmashauri.
yaani makala yote Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Afungua Mkutano Mkuu wa Sita wa Umoja wa Maafisa Elimu wa Mikoa na Halmashauri. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Afungua Mkutano Mkuu wa Sita wa Umoja wa Maafisa Elimu wa Mikoa na Halmashauri. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/03/waziri-mkuu-wa-jamuhuri-ya-muungano-wa_26.html
0 Response to "Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Afungua Mkutano Mkuu wa Sita wa Umoja wa Maafisa Elimu wa Mikoa na Halmashauri."
Post a Comment