title : Michezo : Bandari Tanga Yazidi Kuchanua
kiungo : Michezo : Bandari Tanga Yazidi Kuchanua
Michezo : Bandari Tanga Yazidi Kuchanua
kikosi cha timu ya Scopion ya Arusha kabla ya kuanza mchezo wao na Bandari Tanga ambapo Bandari Tanga iliendelea kung'ara kwa kuibuka na ushindi wa vikapu 91 kwa 60 kwenye mchezo uliochezwa kwenye viwanja vya KCMC Mjini Moshi
Wachezaji wa timu ya Bandari Tanga wakichuana na timu ya Scopion ya Arusha ambapo Bandari Tanga iliendelea kung'ara kwa kuibuka na ushindi wa vikapu 91 kwa 60 kwenye mchezo uliochezwa kwenye viwanja vya KCMC Mjini Moshi
Wachezaji wa timu ya Bandari Tanga wakipewa mawaidha na Kocha Mkuu wa timu hiyo,Mohamed Fazal wakati wa mapumziko katika mchezo wa michuano ya kikapu ya Kilimanjaro Cup ambapo Bandari Tanga illibuka na ushindi wa vikapu 91 kwa 60 ambapo leo Bandari watawavaa timu ya Mtwara kushoto ni
Timu ya Scopion ya Arusha Wachezaji wa timu ya Bandari Tanga wakiwa kwenye benchi lao wakifuatilia kwa umakini mchezo baina yao na timu ya Scopion ya Arusha ambapo Bandari Tanga iliendelea kung'ara kwa kuibuka na ushindi wa vikapu 91 kwa 60 kwenye mchezo uliochezwa kwenye viwanja vya KCMC Mjini Moshi
Mchezaji wa timu ya Bandari Tanga akihojiwa mara baada ya timu hiyo kuibuka na ushindi wa vikapu 91-60 katika mchezo uliochezwa kwenye uwanja wa KCMC mjini Moshi . Habari kwa Hisani ya Blog ya Kijamii ya Tanga Raha
Hivyo makala Michezo : Bandari Tanga Yazidi Kuchanua
yaani makala yote Michezo : Bandari Tanga Yazidi Kuchanua Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Michezo : Bandari Tanga Yazidi Kuchanua mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/michezo-bandari-tanga-yazidi-kuchanua_5.html
0 Response to "Michezo : Bandari Tanga Yazidi Kuchanua"
Post a Comment