title : SPIKA NDUGAI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA GAVANA WA BENKI KUU YA TANZANIA JIJINI DODOMA.
kiungo : SPIKA NDUGAI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA GAVANA WA BENKI KUU YA TANZANIA JIJINI DODOMA.
SPIKA NDUGAI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA GAVANA WA BENKI KUU YA TANZANIA JIJINI DODOMA.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akizungumza na Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT), Prof. Florens Luoga (wa pili kushoto) alipomtembelea leo tarehe 22 Machi, 2019 Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma. Kuanzia kulia ni Msaidizi wa Gavana, Dkt. Nguling’wa Balele, Meneja Uhusiano na Itifaki Benki Kuu ya Tanzania, Ndg. Zaria Mbeo na Kaimu Mkurugenzi wa Benki Kuu ya Tanzania Tawi la Dodoma, Ndg. Harry Mwansembo
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akizungumza na Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT), Prof. Florens Luoga (wa pili kushoto) alipomtembelea leo tarehe 22 Machi, 2019 Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma. Kuanzia kulia ni Msaidizi wa Gavana, Dkt. Nguling’wa Balele, Meneja Uhusiano na Itifaki Benki Kuu ya Tanzania, Ndg. Zaria Mbeo na Kaimu Mkurugenzi wa Benki Kuu ya Tanzania Tawi la Dodoma, Ndg. Harry Mwansembo
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT), Prof. Florens Luoga alipomtembelea leo tarehe 22 Machi, 2019 Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akimsikiliza Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT), Prof. Florens Luoga (kulia) alipomtembelea leo tarehe 22 Machi, 2019 Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma. Wa pili kulia ni Kaimu Mkurugenzi wa Benki Kuu ya Tanzania Tawi la Dodoma, Ndg. Harry Mwansembo na Meneja Uhusiano na Itifaki Benki Kuu ya Tanzania, Ndg. Zaria Mbe.
pika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na ugeni kutoka Benki Kuu ya Tanzania (BOT) ulioongozwa na Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT), Prof. Florens Luoga (wa pili kushoto) walipomtembelea leo tarehe 22 Machi, 2019 Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma. Kushoto ni Msaidizi wa Gavana, Dkt. Nguling’wa Balele, Meneja Uhusiano na Itifaki Benki Kuu ya Tanzania, Ndg. Zaria Mbeo na Kaimu (wa pili kulia) na Mkurugenzi wa Benki Kuu ya Tanzania Tawi la Dodoma, Ndg. Harry Mwansembo
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akimkaribisha Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT), Prof. Florens Luoga alipomtembelea leo tarehe 22 Machi, 2019 Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.
Hivyo makala SPIKA NDUGAI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA GAVANA WA BENKI KUU YA TANZANIA JIJINI DODOMA.
yaani makala yote SPIKA NDUGAI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA GAVANA WA BENKI KUU YA TANZANIA JIJINI DODOMA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala SPIKA NDUGAI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA GAVANA WA BENKI KUU YA TANZANIA JIJINI DODOMA. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/03/spika-ndugai-akutana-na-kufanya_5.html
0 Response to "SPIKA NDUGAI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA GAVANA WA BENKI KUU YA TANZANIA JIJINI DODOMA."
Post a Comment