title : UONGOZI WA BUNGE SPORTS CLUB WAITAKIA HERI TIMU YA TAIFA STARS
kiungo : UONGOZI WA BUNGE SPORTS CLUB WAITAKIA HERI TIMU YA TAIFA STARS
UONGOZI WA BUNGE SPORTS CLUB WAITAKIA HERI TIMU YA TAIFA STARS
Mwenyekiti wa Timu ya Michezo ya Bunge (Bunge Sports Club), Mhe. William Ngereja akizungumza na waandishi wa habari kuitakia heri Timu ya Soka ya Taifa (Taifa Stars) katika mchezo wake wa kufuzu michuano ya Mataifa ya Afrika (AFCON) dhidi ya Uganda inatoyatarajiwa kuchezwa tarehe 24 Machi, 2019 Jijini Dar es Salaam, Mkutano huo ulifanyika katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma,
Mwenyekiti wa Timu ya Michezo ya Bunge (Bunge Sports Club), Mhe. William Ngereja akizungumza na waandishi wa habari kuitakia heri Timu ya Soka ya Taifa (Taifa Stars) katika mchezo wake wa kufuzu Michuano ya Mataifa ya Afrika (AFCON) dhidi ya Uganda inatoyatarajiwa kuchezwa tarehe 24 Machi, 2019 Jijini Dar es Salaam, Mkutano huo ulifanyika katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma. Kushoto ni Kocha Mkuu wa Timu hiyo, Mhe. Vanance Mwamoto na Katibu Wa Timu, Ndugu Waziri Kizingiti. (Picha na Ofisi ya Bunge)
Hivyo makala UONGOZI WA BUNGE SPORTS CLUB WAITAKIA HERI TIMU YA TAIFA STARS
yaani makala yote UONGOZI WA BUNGE SPORTS CLUB WAITAKIA HERI TIMU YA TAIFA STARS Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala UONGOZI WA BUNGE SPORTS CLUB WAITAKIA HERI TIMU YA TAIFA STARS mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/03/uongozi-wa-bunge-sports-club-waitakia_22.html
0 Response to "UONGOZI WA BUNGE SPORTS CLUB WAITAKIA HERI TIMU YA TAIFA STARS"
Post a Comment